Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Aksante sana MKUU SURELYAsante Sana Suley. Hongera kwa kazi nzuri. Tuko tayari kusikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aksante sana MKUU SURELYAsante Sana Suley. Hongera kwa kazi nzuri. Tuko tayari kusikiliza
Shahidi kachengeshwa mpaka anapagawa,anafoka na kumkana hata baba yake mdogo!Hivi Mh. Kibatala hana mtu anaweza kumlipia kwenda kozi fupi ya kudodosa- maana ni ZERO KABISA
Tatizo ni kwamba Urio hata ndg zake wamesha achana nae kwa kitendo cha kuchoma wezie, kibitala na wenzake wameweza kupata taarifa nyetu kuhusu yeye na hio taarifa inatoka ndani ya familia yake, huyu John Urio ni chazo kikubwa cha kuvuja kwa taarifa zake, ndo maana anakasilika anjiuliza nani katoa hizo taarif?.......pia na jaji kaokoka anataka ajue mengi alio danganywa leo hi au kesho hu shahidi itakua kushine, njia ya muongo siku zote ni fupiKwa aina ya Shtaka ni lazima Bwana Urio awe chini ya Ulinzi (kizuizini),hawezi kutokea Hotelini au Nyumbani hata siku moja
Una 'justification'?Hivi Mh. Kibatala hana mtu anaweza kumlipia kwenda kozi fupi ya kudodosa- maana ni ZERO KABISA
Weka sasahivi kesi ikiendelea,kwanini usubiri jioni? Anzisha Uzi wako ulete updates za real time kama anavyofanya mleta mada tuone huo uchakachuaji.Wewe msifie tu na uchakachuaji wake- tutweka ya Mwananchi na zingine jioni tulinganishe
Afadhali kiporo real kuliko edited real time updatesWeka sasahivi kesi ikiendelea,kwanini usubiri jioni? Anzisha Uzi wako ulete updates za real time kama anavyofanya mleta mada tuone huo uchakachuaji.
Au waambie hao Mwananchi watuletee yanayojiri sasahivi,sio kuleta viporo vya jioni.
Niambie mkuu hili swali linamhusu Urio- The arrogant lawyer is just hitting around the bushUna 'justification'?
Sasa mbona upo humu kila siku unasubiri edited updates?Afadhali kiporo real kuliko edited real time updates
Mkuu inaonekana umepata mshtuko Kwa ushahidi unaondelea kutolewa mpaka huamini!Afadhali kiporo real kuliko edited real time updates
Ndiyo kazi ninayo fanya- kuwatahadharisha watu kuwa hizi updatesSasa mbona upo humu kila siku unasubiri edited updates?
Anzisha Uzi wako tuone huo uchakachuaji,otherwise acha ikae hivyo.Ndiyo kazi ninayo fanya- kuwatahadharisha watu kuwa hizi updates
zimehaririwa kujenga taswira kuwa
1. Mbowe ameonewa
2. serikali haina ushahidi
3.polisi ni wajinga
4. mawakili waserikali hawajui
5. mahakama zinaupendeleo au zimebanwa na dola
Yaan URIO anaacha watu hoi kwa mshangao, sio kwa mambo anayoonesha hapo mahakamani. Ni fedheha tupu kwake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana Urio anaingia Kingi taratibu,ngoja tuendelee kubaki hapa:
Kibatala: Kwa Tanzania ipo hiyo CIMIC
Shahidi: Haipo, Ipo katika Active Operation, Kama Nchi Zenye Vita.
Kibatala: Kwa Maana yake Tanzania Hakuna Utaratibu Wa Jeshi Kushea Taarifa na Jeshi Kama la Polisi
Shahidi: Utaratibu huo upo
Kibatala: kwa Maana hiyo CIMIC ipo
Shahidi: Ndiyo ipo
Mbona ni simple tu na wewe unaleta updates zako.Ndiyo kazi ninayo fanya- kuwatahadharisha watu kuwa hizi updates
zimehaririwa kujenga taswira kuwa
1. Mbowe ameonewa
2. serikali haina ushahidi
3.polisi ni wajinga
4. mawakili waserikali hawajui
5. mahakama zinaupendeleo au zimebanwa na dola
una maana gani? kwa mfano swali la tarehe ya kwenda kwa DCI ni story? au swali la kuwa kizuizini ni story?au swali simu CARD kuwa zipo kwenye simu ni story? jaribu kujiongeza ndugu yanguSiongelei ushabiki mkuu nazungumza kama mtaalam.
Hayo maswali hayalengi kuextract relevant information toka kwa shahidi ni kama wanapiga nae stori tu .
Maswali machache tu yangetosha.
Huna uwezo wa kuchakata taarifa yoyote- unajisomea tu yanaingia yanatokaMbona ni simple tu na wewe unaleta updates zako.
Unadhani wote tuna fikra finyu kama ilivyo kwako? Tunafuatilia mwenendo wa kesi hii kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hiki kinacholetwa hapa ndicho kinachopatikana kwenye vyombo vingine vya habari kama magazeti.
Nikija nikisikia hata kwa bahati mbaya kwamba wewe ni mwanasheria kiukweli kabisa moyo wangu utasononeka mno kwamba kada ya sheria imeingiliwa na makanjanja aina yako.
Maana unachokizungumza kwenye kila comment yako ni mahaba tu kwa ccm yako ila hayana mantiki kabisa kwa mtu aliyepevuka kifikra.
duh... balaa hili - JWTZ kazi mnayo !! mkiambiwa na mahakama mdhibitishe kauli hizi mtaweza kweli ?Kibatala: Hata Kunywa Bia lazima Ufuate Sheria, Ndiyo Maana inatakiwa uwe above 18. Je Kiongozi Wako wa Kambi Ulimwambia Kwamba wewe Uliwa' Recruit hawa Walinzi?
Shahidi: Ndiyo nilimwambia
Kibatala: Kwahiyo Ofisi Inafahamu wewe Ukiwa Recruit hawa
Shahidi: Ndiyo
kwa akili yako huwezi kuona implication ya swali hilo!Niambie mkuu hili swali linamhusu Urio- The arrogant lawyer is just hitting around the bush
Kibatala: Unafahamu Kwamba Mbowe (Homeboy Wako) Msaidizi Wake Ben Focas Rabiu SaaNane Kapotea Mpaka Leo hajulikani Halipo
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Je Mpaka hapo huoni Kwamba Mtu alikuwa anahitaji Walinzi (Ulinzi)
Shahidi: suala la Walinzi ni Swala Binafsi la Mtu