Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Mkuu unashangaa fagio kugeuzwa mwiko wakati ugaidi wooote mpaka wa kukata miti ulikuwa unategemea bastora hiyohiyo moja na risasi 3
 
Binafsi nashindwa kuelewa hawa mashahidi, inamaana hawaelewi ni kwanini wanaulizwa hayo maswali? Mi naona wanajibu jibu tu hata bila kufikiri. Hawajui kuwa majibu yao yanaweza kudisqualify ushahidi wanaoutoa au ni vile wamejawa na viburi kwamba the end will justify the means......
 
Kwani Uzi huu unashida Gani? Nyuzi zote ambazo hazina Maana JF huziondoa. Unataka tusijue Yanayo Endelea?
Majinga hayo ndio maana yanafungia mahakama yanaogopa matabrarasa yao ya jamhuri yanapuyanga. Utasikia jumatatu mbinde yake kuingia mahakamani.
 
Mkuu unashangaa fagio kugeuzwa mwiko wakati ugaidi wooote mpaka wa kukata miti ulikuwa unategemea bastora hiyohiyo moja na risasi 3
Na laki sita hawa jamaaa vichwa zao zimejaa kamasi. Muvi LA kihindi kabisa tena enzi za dharumenda
 
Kumbe huyo Askari Jumanne ndo aliongoza wenzake kwenda kumbambikia mstaafu meno ya tembo na amesimamishwa kazi! Maluuni mkubwa!
Mkuu huyo jmanne na wenzake walienda kumuomba mzee maeda a wasamehe lakini akakataa na kuwaambia wamrudishie tu mzinga wake wa nyuki. Cha kushangaza wamefukuzwa kazi lakini hawako ndani na hawajashtakiwa kesi yao ni uhujumu uchumi
 
Anaweza kuwa shajidi namba nane ..tusubiri anaona wenzake wanapigwa za uso anahofu sana.
 
Mahita:Sahihi kabisa
..... Yaaani Sawa ,Mbowe atafungwa ila mjiandae kisaikolojia ...msipuuze kama 17th March. Mungu yupo na wanamuapia.
 
Shosti mama mbege alisema walikuwa wamekaa!
 
wafuasi wa Mbowe jitahidini sana kuheshimu mahakama, vitendo mnavyo vifanya mahakamani vya kupiga makelele na kuleta vurugu sio sahihi ma wala haviwezi kumsaidia Mbowe na wenzake.
Jambo la kushangaza zaidi ni pale nilipo muona Mnyika akiongoza mayoe.....yaaani hapo chadema hawana katibu mkuu.
 
Unajua maana PGO?
 
Inasikitisha sana kuona kodi zetu zinachezewa kwenye hii kesi hakuna kitu hapo Jambazi sugu sabaya eti anatishiwa kuuawa na kesi inaanzia Wilaya yake hii movie waliyotengeneza karma ndio itawahukumu maana kama mahakama ingekuwa huru wasingeendelea kusikiliza hayo madudu ya ushahidi wa Serikali...
 
Well said.
The problem is that the magistrate may assume he has not seen/detected the lie.
Or the judgement may have been written even before the case have been presented in a court of law.
 
Yaani Mungu kila wakati huwa na makusudi tofauti na mwanadamu.

Anesha wapiga jamhuri upofu. Hawa onani tena. Kila shahidi ana ongea tofauti na mwe MB zake. Ifike mahali sasa Dpp aiondoe hii kesi mahakamani. Ina lifedhehesha Taifa.
 
Wewe wakala wa shetani ,Umekuwa HAKIMU sikuhizi unalalamika kelele za mahakamu yako.Ni hivi MBOWE atafungwa ili wewe na wenzako hapo LUMUMBA muuongezewe mshahara.Njaa ,Magonjwa,dhiki na kila aina ya taabu zikapate kutamalaki kwenu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…