Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

Ni wahuni tu ndiyo wamo humo na sababu ya wao kuchukiwa sana na Watanzania wengi ni tabia yao mbovu iliyokithiri ya kubambikia watu kesi FEKI.

Kumbe huyu afande Jumanne mwenyewe ameshawahi kusimamishwa kaz kwa kumbambikia mtu meno ya tembo, jeshi letu la polisi limeoza imagine huyo ndio mkubwa sijui kwa walio chini yake wakoje.
 
Kibatala; unafahamu afande jumanne amesi amishwa kazi kwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki na yeye ni miongoni mwa mashahidi kwenye hii kesi?

Shahidi; sifahamu Kama kasimamishwa kazi

Kibatala; unafahamu kuwa afande jumanne anatuhumiwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki?

Shahidi; nafahamu

Makubwa!!!!!!
 
Kumbe huyu afande Jumanne mwenyewe ameshawahi kusimamishwa kaz kwa kumbambikia mtu meno ya tembo, jeshi letu la polisi limeoza imagine huyo ndio mkubwa sijui kwa walio chini yake wakoje.
ASP Bageni alihukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu kwa kuwapora na kuwaua wale ndugu wafanyabiashara wa madini toka Morogoro na dereva taxi; alipokata rufaa the Supreme Court ikakazia hukumu; sina hakika kama alishalishwa kitanzi au bado. Hao ndio mabosi wa jeshi la polisi; imagine huko chini hao "nyoka" wanaosaka senti za ku-brush viatu wakoje!
 
Kibatala; unafahamu afande jumanne amesi amishwa kazi kwa kumbambikia mtu Meno ya tembo kwenye mzinga wa nyuki na yeye ni miongoni mwa mashahidi kwenye hii kesi?...
😁😁😁😁 Hawa jamaa wanajiaibisha aisee! Hii kesi ya Profesa wa watu mstaafu kuwekewa meno ya tembo nyumbani kwake halafu wakamtishia kumpeleka polisi, au atoe milioni 70 ili wamalizane, uzi wake ulikuwemo humu jukwaani, na pia vyombo vya habari vili irusha hii taarifa! Kumbe na Jumanne naye alikuwemo!!

Kwa hali hii sasa mbona ukweli uko wazi kabisa! Polisi ni wabambikiaji wa kesi.
 
Kibatala; hati ya mashtaka inataja kudhuru viongozi, hao viongozi ni akina nani

Shahidi; sabaya

Kibatala; mwingine?

Shahidi; sabaya

Kibatala; sabaya umemtaja na walikua wengi tutajie mwingine

Shahidi; sabaya

Hii sasa kali.
 
Na kibatala amempa break akapumue kidogo amemwabia anayo maswali mengi Sana kwake.
 

Tulia ndugu...

Acha pre - emptive..

Mahojiano yanaendelea...

Hebu msikilize ndugu yako hapa...
 
Kibatala; hati ya mashtaka inataja kudhuru viongozi, hao viongozi ni akina nani

Shahidi; sabaya

Kibatala; mwingine?

Shahidi; sabaya

Kibatala; sabaya umemtaja na walikua wengi tutajie mwingine

Shahidi; sabaya

Hii sasa kali.
... hao walioandika hati ya mashtaka na wanaotoa ushahidi mahakamani kwamba hata Kiswahili kinawashinda? Kuwadhuru viongozi wa Serikali; sasa taja hao viongozi; Sabaya; wengine? Sabaya! Kwamba Sabaya anatajwa kwa wingi amekuwa Mungu?

Bwana Mungu na akasema, "tumfanye mtu kwa mfano wetu ...". Kwanini hati ya mashtaka na ushahidi visingetaja tu kiongozi wa serikali badala ya viongozi! Another mistake on jamhuri's side! You can see the ill motives behind thise case!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…