Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

Yani hapo alipogoma kusoma PGO ndipo alipo jikaanga kabisa bora hata angeisoma kidogo akafafanua anavyo fikiri japo general order iko clear kabisa...... huyu ndio mmoja wa mashahidi aliyetia fora kabisa aiseee hahahaha
 
Hivi wale waliokuwa wanamkosa Hamza ni polisi wa Nazareti au Galilaya!!??
 
Wengine tumezaliwa familia za kijeshi, babu kapigana vita ya pili ya dunia, baba kapigana vita ya kagera, na uhakika kama wangekuwa hai sidhani kama wangefurahishwa na hili jeshi la wafuga vitambi!


Shahidi wa pili anatia aibu kuliko hata Kingai
 
Wawe na subra

Tunaambiwa.... "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Mhubiri 7: 8 - 9​

Hapa tumepaniki
 
Hivi navyo ni vituko tupu hivi huyu shahidi yani kila kitu hafahamu mbona ni mbumbu sana aiseee.... Hivi jamhuri kwanini hawa waandai mashahidi wao? hii ni aibu sana aiseee yani kila swali sifahamu, sifahamu, sifahaamu ......
Ushahidi wa kufundishwa ndio matokeo yake haya
 
Hizi Platform zinatusaidia kuzinduka, maana hapo zamani tulikua tumelala doloooo, jaji kama anajua anachokifanya sio kupindisha haki ni kunyosha sasa awe na hofu ya nini kolo
 

vijana wenyewe ndiyo hawa wakina [mention]USSR [/mention] ccm majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…