Tuoneshe hiyo picha wakiwahi kumpa spika hizo barua, sio mnajitungia tu porojoWaliwahi Chadema walipotoa hukumu tu akina Mdee wakawahi kupinga kuwa kuna barua zinakuja wao wameshafungua kesi mahakamani na copy wakampa spika sijawahi kabla barua official ya Chadema ya Kigaila
Ujanja kuwahi
Spika hakusema mahakama imeweka zuio. Bali amepokea taarifa kutoka kwakina Halima kwamba wamefungua kesi mahakamani. Hivyo anasubiri mchakato wa mahakama ukamilikeWataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Kwahiyo haki ni kuwapendelea chadema?Tulikubaliana tupo awamu inayotenda haki. Tusihangaike ku-influence kwa namna iwayo yote uamuzi wa mahakama. Tuwaachie mawakili na wanasheria wafanye kazi zao.
Tuwekee ushahidi hapa wa hiyo barua, sio porojo, iwe na muhuri wa mahakama.Wakilushapewa taarifa tangu Ijumaa kwa dispatch, tena nilipeleka mimi mwenyewe ofisini kwa katibu mkuu CDM.
Wala hata sioni shida wao kulapa Wal kuwa na wivu wao kupata hata walitolewa tozo zitaendeleaa kuwepo tu muhimu Ni kuwa hal itendeke mliwatumia kuinanga serekali leo muwafukuze waenda wapi Ni chama kipi ipo tayari kuwapokea wabunge wenye matusi hknUnajua tozo unayokamuliwa na mamaako ndio wanalipwa hao uMBWA? ikiwa uharisha hapa ukiwa unatia miayo wenzio account zinanona acha ujinga
CDM wameifanya iwe dili ya kisiasa, inafikirisha mawakili ambao hawakua na taarifa halafu wavizie tu kuingia mahakamani na tayari wawe na majibu ya kupinga wakati walikua hawajui chochote kuhusu kesi hiyo kama tunavyotakiwa tuamini.Wakilushapewa taarifa tangu Ijumaa kwa dispatch, tena nilipeleka mimi mwenyewe ofisini kwa katibu mkuu CDM.
Mwenyekiti wa kijiji akiiba hela ya wananchi huko kijijini kwao utasikia wameandamana ili mwenyekiti ajiuzulu lkn hao wananchi wambie kuwa waziri wa afya imepoteza mabilioni kadhaa sasa tuandamane ili kushinikiza huyo waziri ajiuzulu watakwambia hiyo pesa haituhusu na hakuna mwananchi hata mmoja anaweza kujitokeza kuandamana. Nimekufananisha na hao wananchi.CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
Unateseka? Mama bado anaupiga mwingiWataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!
Pathetic!
Hata sijakuelewa ulicho kiandika rudia vzr nikuelewe mkuu wa itifaki wa cdmMwenyekiti wa kijiji akiiba hela ya wananchi huko kijijini kwao utasikia wameandamana ili mwenyekiti ajiuzulu lkn hao wananchi wambie kuwa waziri wa afya imepoteza mabilioni kadhaa sasa tuandamane ili kushinikiza huyo waziri ajiuzulu watakwambia hiyo pesa haituhusu na hakuna mwananchi hata mmoja anaweza kujitokeza kuandamana. Nimekufananisha na hao wananchi.
Hahahahaha tusha sikia sana hayaTanzania ikiendelea kucheza siasa hizi, haitadumu miaka 50 ijayo.
Double standard katika nchi ile ile na katika bunge lile lile.Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?
Unapoteza muda kupambana na marehemu we jinga.Magu aliharibu sana hii nchi!
mh ! sijajua una umri gani ila kwa maneno yako inaonekana hujaijua dunia ...Tanzania ya uonevu itaondoka na itakuja Tanzania yenye haki na upendo.