Wakuu Ebu Tufanye argument kidog Kuhusu hii application ya Akina mdee.
.
Sitaki kuamini Adv. Ikupilika na Jopo Lake Wanaweza Kuandaa Misc. Application ambayo Iko defective kiasi Hiki.
.
Applicant Kwenye affidavit Yao hawaoneshi kama wame-affirm or Sworn... Hii ni defective unai-cure Vipi?
.
Sijapata logic Yao Kwenye Main application Kumweka AG na Tume Ya Uchaguzi Wakati Main application yao kuwa maamuzi ya Cc na Baraza la Chadema yalikuwa na unprocedurally.
.
Kwamba maamuzi Yao Yana technicalities Nyingi.
.
Sasa Kwa Nini AG na Tume wawe sehemu ya Respondent Kwenye Main application?
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app