Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?
Unavyozidi kuhoji kwa records za nchi hii hii na sheria zile zile haitii tu hasira bali inadhalilisha pia majaj na familia zao!
Zaman ujaji ilikuwa ni kazi ya heshma sana.
Itafikia jaji na kada hawana tofauti!
Kutembelea v8 na posho nzur haiwez kuwa na maana kuliko legacy ya haki! Hata majambaz na waganga wanazo hizo mali na maisha siku hizi.
 
Ukweli ni kwamba serikali ilishaliingiza Taifa kwenye hasara kubwa kwa kuwalipa Hawa covid 19 ikiwemo na viapo vya Siri ambavyo wamekula.

Sasa serikali walikuwa kwenye mtego mkali sn endapo wangeruhusu au wataruhusu Hawa wamama watoke bungeni.

Hivyo basi serikali pamoja na Bunge wamechagua ipannde wao kuona ni wapi kutakuwa na afadhali kwao

So upande waliochagua ndio nafuu kwao kuliko kuwaachia watoke wale covid 19

so the end justfy the means
 
Hiyo Mahakama, bado tu haijapata fundisho kwa Kesi ya ugaidi ya akina Mbowe?

Tumechoka kusikia visingizio vya mashahidi wa Jamhuri kuomba ruhusa ya mara kwa mara, kwenda jisaidia[emoji3064]

Kina Mbowe walikutwa na kesi ya kujibu, wamshukuru aliyewapa msamaha! Kina Kibatala tayari walikuwa wameufyata!
 
... nimeilewa sana hiyo observation; wanataka kuwa wabunge wa kutokea hewani? Nikajua la muhimu ilikuwa kwanza kupigania uanachama ili ku-justify ubunge! Ndio mnasema Mdee ni mwanasheria? Kweli ulikuwa ubunge wa Ndugai na Magufuli!

Wao ni Chadema na ndiyo maana wapo bungeni!
 
Chadema hawakupewa taarifa ya kusikilizwa hii kesi leo mahakama kuu.

Kama Chadema wasingetokea kwa kuvizia [ baada ya kutuma makachero wao] hapo mahakamani, shauri hili lilipangwa liamuliwe upande mmoja, huku tayari kina Mdee wakienda mahakamani kwa kujificha, CCM na vyote vilivyomo ni najisi kwa hili taifa.

Wakilushapewa taarifa tangu Ijumaa kwa dispatch, tena nilipeleka mimi mwenyewe ofisini kwa katibu mkuu CDM.
 
Kwa kibatala watakiona cha moto na jasho kuwatoka, hata kama watabebwa bebwa

Hana kitu yule mbabaishaji tu, mbona pamoja na mbwenbwe zake zote bado Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu. Kama siyo msamaha angekuwa bado anakula waya Ukonga hadi muda huu.
 
Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?

Mbona Zitto Kabwe hakufukuzwa? Hadi alipata mafao yake yote ya miaka mitano!
 
Siasa zetu tamu sana

baada ya karibia mwaka kuwa busy na hashtag za kupigania Mbowe kuachiwa

sasa hivi wametengenezewa agenda ya kuwaweka busy hadi mwishoni mwa 2024

Tunashukuru wabunifu wetu
Zaidi ni kutuondoa katika mjadala wa kupanda kwa bei ya mafuta na maisha kwaujumla.
 
Lema Alivuliwa Ubunge Na Mahakama, Alikata Rufaa Lakini Alifukuzwa Bungeni, Spika Hakusubiri Rufaa Yake Isikilizwe, Wabunge 9 wa CUF Walifukuzwa Uanachama. Walienda Mahakamani Lakini Walitolewa Bungeni, Spika Hakusubiri Kesi Yao Isikilizwe, Je Kwa Kina Halima Sheria Imebadilika?

Mbona mfano wa Zitto Kabwe huuongelei hapa?
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
Wewe ni mpum.avu
 
Wakuu Ebu Tufanye argument kidog Kuhusu hii application ya Akina mdee.
.
Sitaki kuamini Adv. Ikupilika na Jopo Lake Wanaweza Kuandaa Misc. Application ambayo Iko defective kiasi Hiki.
.
Applicant Kwenye affidavit Yao hawaoneshi kama wame-affirm or Sworn... Hii ni defective unai-cure Vipi?
.
Sijapata logic Yao Kwenye Main application Kumweka AG na Tume Ya Uchaguzi Wakati Main application yao kuwa maamuzi ya Cc na Baraza la Chadema yalikuwa na unprocedurally.
.
Kwamba maamuzi Yao Yana technicalities Nyingi.
.
Sasa Kwa Nini AG na Tume wawe sehemu ya Respondent Kwenye Main application?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Andika kiswahili wewe, hatukuelewi
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha Phd na ni mwanasheria!

Pathetic!
 
Wakuu Ebu Tufanye argument kidog Kuhusu hii application ya Akina mdee.
.
Sitaki kuamini Adv. Ikupilika na Jopo Lake Wanaweza Kuandaa Misc. Application ambayo Iko defective kiasi Hiki.
.
Applicant Kwenye affidavit Yao hawaoneshi kama wame-affirm or Sworn... Hii ni defective unai-cure Vipi?
.
Sijapata logic Yao Kwenye Main application Kumweka AG na Tume Ya Uchaguzi Wakati Main application yao kuwa maamuzi ya Cc na Baraza la Chadema yalikuwa na unprocedurally.
.
Kwamba maamuzi Yao Yana technicalities Nyingi.
.
Sasa Kwa Nini AG na Tume wawe sehemu ya Respondent Kwenye Main application?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umetumia lugha ngumu Sana boss..
 
Walichopeleka leo ni LEAVE TO FILE APPLICATION & Misc Application for temporary injunction and to maintain status quo.

Nadhani Hiyo Affidavit yao watatumia S. 3 ya Misc na amendment ya CPC OVERRIDING OBJECTIVE.

Sworn/Affirm huwezi cure kwa overriding but IT WILL BE CURED.

Back
Top Bottom