Chadema kuachana na wale wanawake ni bora zaidi kwasababu CCM na serikali yake inawalinda.
 
Kwa sheria ya Contradictions, Halima Mdee na wenzake 19 tayari ni sikio la kufa.
Mahakama sanasana itawapa kamba ndefu tu ya kujinyonga.
Basic Principle imesimama, na ni kwamba Ubunge ni uwakilishi wa wananachi kwa tiketi ya chama.

Chama chao CHADEMA kimeshawaondolea uanachama hao kina Mdee.
Sasa huko bungeni wanamuwakilisha nani?
Mahakama ina upenyo finyu sana kusustain ubunge wa the gang of 19.

Kama wameonewa na chama chao kwa kutosikilizwa basi maamuzi yatakuwa wakasikilizwe rufaa zao, na hapo mwisho wa gemu.

Halima Mdee na gang of 19 bado watafukuzwa uanachama na hata Spika Tulia hatakuwa na uwezo wa kuwabeba.
The Law of Contradictions, huwezi kuwa bungeni kwa utashi wa Spika.
 
Naona kina Joyce Mukya wamejazana humu kupigania nafasi zao kupitia ID fake, na thread za malalamiko uchwara. Pole sana mleta mada
 
By Twaha Mwaipaya kuputia twitter:

Japokua najua mahakama haipo huru ila sidhani kama ni kosa kufika Mahakamani Kutoa ushaidi juu yako, Nitaiambia mahakama Mimi na wewe wakati wote wa uchaguzi tulikua Gerezani je mwenzangu fomu ya Ubunge ulijazia wapi, UOVU haupaswi kukimbiwa ila inabidi uwekwe wazi, nipo tayari.
 
Yaani huyu mwamba anatapa tapa, au mlitegemea kuupata huo ubunge nini 😊 mnatujazia saver tuu...!!
 
Shida yenu nyie nini?
Hao hawana shida yoyote, nadhani shida iko kwa Tulia na Halima et al labda na wewe

Ujue vitu vingine watu wafike mahali waone aibu. Si sawa spika anavyofanya hivi. Ni vitu vya kitoto na aibu. Heshima ya mtu huwa haipimwi kwa mtihani kwamba kuna siku utakaa ufanye mtihani mbele ya invigilator kisha upate grades bali matendo yako ya kila siku.

Tulia nikukumbushe kitu kimoja, Ndugai alikuwa mbabe kuliko wewe, Ndugai alijitoa ufahamu kuliko wewe, yuko wapi sasa? Tulia jifunze kwa mifano hai
 
Unajua tozo unayokamuliwa na mamaako ndio wanalipwa hao uMBWA? ikiwa uharisha hapa ukiwa unatia miayo wenzio account zinanona acha ujinga
Mmeambiwa na mwenyekiti wenu Gaidi Mbowe muache tabia aliyowfundisha ya kutukana watu- sionio kama mnaelewa. TABIA HAINA DAWA
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha PhD na ni mwanasheria!

Pathetic!
Tunasumbuliwa na watu walioandikiwa dissertations za PhD na watu wengine.
 
Wataumbuka japo watabebwa.

Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?

Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha PhD na ni mwanasheria!

Pathetic!
Rubbish
 
Umeupasua ukweli.
 
Bila ya kuwekwa busy kwny sakata la Kamanda Halima Mdee na Bulaya sasa hivi mngekuwa busy kwny uchochezi wa Bei ya Mafuta na Katiba mpya
Wakati nchi zingine wanabuni kupeleka satellite mwezini nyie wapumbafu na wajaa laaana mnawaza kubuni mbinu dhidi ya chadema. Kwa akili hizi ndio maana tumeshuka kwenye Uchumi wa kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…