NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Chadema kuachana na wale wanawake ni bora zaidi kwasababu CCM na serikali yake inawalinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama huna akili utamlaumu nani?Naona kina Joyce Mukya wamejazana humu kupigania nafasi zao kupitia ID fake, na thread za malalamiko uchwara. Pole sana mleta mada
Dj, anaetembea na akili za wanachama zaidi ya M2 mfukoni kwake.Sasa kama huna akili utamlaumu nani?
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema upumbavu, kama ufupi au unene, nao ni kipaji.Dj, anaetembea na akili za wanachama zaidi ya M2 mfukoni kwake.
It is already too late.Asingeropoka mapema,Ma Ccm hayaishiwi mbinu za uongo,
Hao hawana shida yoyote, nadhani shida iko kwa Tulia na Halima et al labda na weweShida yenu nyie nini?
Mmeambiwa na mwenyekiti wenu Gaidi Mbowe muache tabia aliyowfundisha ya kutukana watu- sionio kama mnaelewa. TABIA HAINA DAWAUnajua tozo unayokamuliwa na mamaako ndio wanalipwa hao uMBWA? ikiwa uharisha hapa ukiwa unatia miayo wenzio account zinanona acha ujinga
Tunasumbuliwa na watu walioandikiwa dissertations za PhD na watu wengine.Wataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha PhD na ni mwanasheria!
Pathetic!
RubbishWataumbuka japo watabebwa.
Sasa Spika asubuhi ya leo aliwaruhusu kubaki Bungeni kwa amri ya Mahakama ipi ili hali jioni hii ndio Mahakama inatoa zuio?
Eti huyu ndio msomi wa kiwango cha PhD na ni mwanasheria!
Pathetic!
Umeupasua ukweli.Ktk hili mbowe ataisoma namba, maana mtego aliotegewa ni mkubwa hasa kwa kuwa yeye ana udhaifu ktk kuona haki za wenzake ila mambo yake ya kung’ang’ania uenyekiti wala hana makubwa. Nasema bunge na serikali haliwezi kukubali kuwafukuza akina Halima na sababu kubwa ni kuwa endapo wakifanya hivyo Mbowe na genge lake hawatateua wabunge na bunge litakosa upinzani na hapo ndiyo kutakuwa na mgogoro wa kisheria na namna ya uendeshaji wa bunge na mbowe ataitumia hiyo karata kuwaambia mabeberu kuwa 2020 walionewa. So forget about hao kuondoka bungeni
Wakati nchi zingine wanabuni kupeleka satellite mwezini nyie wapumbafu na wajaa laaana mnawaza kubuni mbinu dhidi ya chadema. Kwa akili hizi ndio maana tumeshuka kwenye Uchumi wa kati.