Ya Babu wa Loliondo ilikuaje?


Wewe unadhan Mdee na kundi lake wanatetewa kwa sababu ipi?

Sakata la Richmond iliwachukua muda gani kujua ilitengenezwa kwa lengo maalum na wala haikuwa vita ya ufisadi?

Mzee Ally Hassan Mwinyi 1983 alinyofolewa ubalozini Egypt ikadhaniwa kamkera Mwalimu kumbe kaja kuwekwa Reserve kuna Jungu atapigwa Abdu Jumbe Jan 1984 halafu atatimuliwa ili Balozi Mwinyi apewe u Rais wa Znz

Mbowe anatumia issue ya Kina Mdee kuwazoa zoa nyie muone ana misimamo wakati mengi sana amesha comprise tangu atoke Mahabusu


dola nayo inatumia issue hiyo hiyo kuwa keep busy

kwa ufupi Mbowe na Dola Lao moja kwny hili japo wana motive tofauti


hakuna linalotokea kwny siasa kwa bahati mbaya
 

Ya babu wa Loliondo hayakutengenezwa na serikali acha upotoshaji, ww umesikia watu wamesema hivyo huku mitandaoni na ww ukaconclude kuwa ndio hivyo. Hawana akili hiyo usitake kuwapa sifa wasiyostahili.

Mdee na kundi lake wanatetewa ili watu wawajadili huku mitandaoni?! Kwa hiyo serikali haioni umuhimu wa mafanikio yake kujadiliwa, bali wanaona watu wajadili mambo ya kina Mdee! Kama kuna serikali ya hivyo, basi ujue huko kwenye system kumejaa mabogus.
 
So what!
Mimi Gellangi nashauri tukubali kuwa sisi Watanganyika tusiposhuka kutoka kwenye Luxurious Bus Tanzania CCM na kurudi nyumbani Tanganyika tumepotea milele.Dereva Wa gari hili basi Tanzania hafahamu tunaelekea wapi na tutafika lini?Turudi tulikotoka kama kenye filamu ya God must be crazy.
Let's Go Back Home,Our Lost Tanganyika is Crying since 1964 for loosing it's children's identity. They were taken to Imprisoned by TANU and Later CCM.
Just thinking out of the cage.
 
kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini

nami natambua na kuheshimu uhuru wako huu
 
Huwezi kushuka kwny gari mkweche mpaka uwe na uhakika gari utakalopanda ni bora kuliko uliloshuka

hao Viongozi wa gari linalopigiwa debe tupande kila siku wanashuka kuja kupanda hilo gari Mkweche


juhudi za kutuaminisha kuwa CCM haifai mmezifanya sana tena kwa mafanikio…kazi kubwa inayowakabili sana ni kutuaminisha kuwa sasa mnafaa na hapo ndipo mnapochemka

yaani Chama kinaongoza kwa kusalitiwa na Viongozi kuliko wanachama na mashabiki

Uongozi wa juu wote wa wanawake unasaliti chama, Makatibu wakuu, wagombea urias, Wabunge. n.k wanasaliti chama hapo ujawapa Nchi

usaliti huu mngeufanya mkiwa kwmy ofisi za Umma ingekuaje?

 
Sijaelewa vizuri, ivi Mdee na wenzake wataendelea bungeni wakati kesi inaendelea? Ama hawataingia mpaka hapo june 13? Kiswahili kigumu wakat mwengin
 

tutaendelea tena kuwashuhudia hawa wakija kutoa ushahidi? Wakati tuchukue kalamu karatasi na kamera ili tuwafuatilie watupatia Ben saa8, Azory, na wengine waliowatowesha haya ni majini wa Lucifer aliyechimbiwa chato!
 
Umezungumzia haki kuwa wakapate haki yao vinginevyo shauri lao litakuwa dismissed. Pia umezungumzia karma itayokipata chama kilichowafukuza. It seems kuna kitu unajua kuhusu hii kesi. Funguka zaidi tupate kujua
 
Tulikubaliana tupo awamu inayotenda haki. Tusihangaike ku-influence kwa namna iwayo yote uamuzi wa mahakama. Tuwaachie mawakili na wanasheria wafanye kazi zao.
Sawa . Walipelekwa bungeni na nani? Magufuli mpumbavu sana
 
Ukitaka kuwa mtetezi wa ‘wanyonge’ katetee wanawake na wanyonge wa ukweli, Pasco! Hawa siyo wanyonge, na siyo wote ni wanawake, wengine waume za watu hapo! Nyumba ya jirani tu hapo kwako, mwanamke na watoto wananyanyaswa, hujawai kuongea, eti leo unajiita mtetezi wa hao mamilionea!
 

Hao watamaliza miaka yao mitano ya ubunge bila chenga yoyote! Hakuna wa kuwatoa hapo hata kwa mtalimbo!
 
Kabisa umeongea kwa kushirikisha ubongo wako hapa,mahakama zetu zipo huru really??bila shaka mkuu bado unaishi nchi ya mazuzu, but definitely mimi sio zuzu

Leta ushahidi hapa siyo hisia zako za mchongo!
 
Kwa kibatala watakiona cha moto na jasho kuwatoka, hata kama watabebwa bebwa

Hawajakiona cha moto chochote na bado wanadunda tu, bado miaka miwili tu bunge linavunjwa na wao wamo!
 
Mkuu mle bungeni..tuna maspika galasa ambayo yaako very biased..badala ya kusimamia sheria yanasimamiia matumbo bila kujali mstakabali wa Nchi juu ya mukdha tuliojiwekea.

Wewe hapo ulipo unakula sheria au unalisha tumbo!
 
Leta ushahidi hapa siyo hisia zako za mchongo!
Uzuzu unakusumbua mkuu, wewe unaona ni halali kwa president kumteua mtu kuwa Judge?au CJ?,why hawa wasiombe na kufanyiwa interview?,na kiapo Chao kiwe kwa CJ sio president, ila sikushangai maana ni zao la shule za kayumba ,yule aliyezianzisha hata mjukuu wake hajasoma huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…