Ya Babu wa Loliondo ilikuaje?
Wewe unadhan Mdee na kundi lake wanatetewa kwa sababu ipi?
Sakata la Richmond iliwachukua muda gani kujua ilitengenezwa kwa lengo maalum na wala haikuwa vita ya ufisadi?
Mzee Ally Hassan Mwinyi 1983 alinyofolewa ubalozini Egypt ikadhaniwa kamkera Mwalimu kumbe kaja kuwekwa Reserve kuna Jungu atapigwa Abdu Jumbe Jan 1984 halafu atatimuliwa ili Balozi Mwinyi apewe u Rais wa Znz
Mbowe anatumia issue ya Kina Mdee kuwazoa zoa nyie muone ana misimamo wakati mengi sana amesha comprise tangu atoke Mahabusu
dola nayo inatumia issue hiyo hiyo kuwa keep busy
kwa ufupi Mbowe na Dola Lao moja kwny hili japo wana motive tofauti
hakuna linalotokea kwny siasa kwa bahati mbaya

Hakuna mwenye akili hiyo ya kuwatengenezea watu ajenda. Haya watu wanajadili kwa mapenzi yao, usitake kujifanya kwamba kuna akili hiyo. Wanayoyatengeneza yajadiliwe ni hizo bajeti na miradi yao, ambayo haina mvuto wa hivyo. Haya mengine ni coincidence. Vinginevyo unionyeshe hilo kundi lenu lenye watu waelewa ni kipi mnajadili nje ya haya tunayojadili hapa.