Joyce Mukya mbona huwa hatulii.9. Mtoto/mjukuu wa Chief Kunambi
10. Mke wa Jakaya Kikwete
Sielewi unataka kumuaminisha nani kuwa wapiga kura wa 2015 ndiyo wale wale, wana msimamo ule ule na hawajabadirika kifikra 😐!!.Sijui umetumia kigezo gani, yaani Sugu alieongoza kupata kura nyingi zaidi ya wabunge wote 2015 leo umpe 50/50 na mtoto asiejua hata wapiga kura wake ni kina nani?!
Chadema watu washachukua fomu.Hivi Waliokatwa hawaezi KUHAMA CHAMAA?
Lugha haijawahi kuwa kipimo cha Intelligence, kama ni hivyo watu wa Asia wasingewapiku waingereza IQMbona una panic [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi huyu hata division zero alipata kweli?
Sio LA saba B huyu!
View attachment 1543214
Wake za wastaafu wana kazi za kufanya yeye hana ndo maanaWake wa wastaafu wote wametulia yeye kang'ang'ania kuziba riziki za watu ,[emoji44][emoji44]
Hakuna mwanasiasa anaachia madaraka kwa kuridhika, hiyo sahauMkuchika hajatidhika tu? Kweli madaraka matamu
Do you know that English is official language of this country?Lugha haijawahi kuwa kipimo cha Intelligence, kama ni hivyo watu wa Asia wasingewapiku waingereza IQ
Udini ndio funga kaziHuo ukabila Nchi ni Yetu sote!
Kwa uteuzi huu hata Mimi ningempa HalimaAisee mla kondoo kapita mungu kweli ni wa kila MTU aisee anakusaidia hata kama unataka kuiba kanisani,sasa akapambane na mwenye jimbo lake la kawe
Nakuunga mkono na hata Kura kwa sasa zitabadilikaKibinafsi nachukua nafasi hii kumpongeza Dr Kimei mtanzania mzalendo kuteuliwa na CCM kugombea Vunjo ambaye aliuthibitishia ulimwengu kuwa hata wazawa Waweza geuza mashirika ya umma ya wazawa yakashindanana ndani na kimataifa kwenye biashara za ushindani
Aliibadilisha CRDB iliyokuwa inakata roho Hadi kuwa benki ya kutegemewa ndani ya nchi na benki ya kwanza ya ndani kuwa na Matawi nje ya Nchi
Hongera Dr Kimei you deserve to be a member of parliament by virtue of your ability
Uwezo wako na performance inakubeba
Mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama anahitaji tu kuambiwa angalia CRDB kabla ya Dr Kimei na CRDB Baada ya Dr Kimei Kuingia
I wish you all the Best Dr Kimei
Kwan huyu si ndo yule alipendekeza mkulu aongezewe muda au syo huyu.Duuh nkamia nae chalii ooho.
AlishindwaSitaki hata Kuamini alafu si alishindaa kwa kura za maoni?
TamaaMama Jk nae angetulia tuu... First lady unataka nini tena[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni uteuzi mzuri,hongera CCM!Hii mboga moto, ugali Moto! Kutakuwepo na vilio, machozi na kusaga meno kwa wengi.
Yaah alileta sera ya Miaka 7 kwa Magu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Falaa sana lileee yani kujipendekezaa tuuKwan huyu si ndo Yule alipendekeza mkulu aongezewe muda au syo huyu
Hawahitajiki watu wenye mvuto. Wanatakiwa wachapa kazi.
Alishindwa
Umechanganyikiwa wewe, lugha ya kwanza ya Taifa Tanzania ni Kiswahili, hiyo nyingine ni ya pili, nenda mpaka huko asia, hiyo nyingine ni ya pili kwa nchi nyingi tu na bado inatumiwa vyuoni. Kumaster lugha sio issue sana.Do you know that English is official language of this country?
Sasa kama lugha unayosomea kwa miaka 15 kuanzia O level, A level, Diploma ualimu, BA, MA hadi PhD kisha inakushinda wewe tatizo lako ni zaidi ya IQ.
Na hao wa Asia hawasomi kwa lugha za magharibi