Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

Sijui umetumia kigezo gani, yaani Sugu alieongoza kupata kura nyingi zaidi ya wabunge wote 2015 leo umpe 50/50 na mtoto asiejua hata wapiga kura wake ni kina nani?!
Sielewi unataka kumuaminisha nani kuwa wapiga kura wa 2015 ndiyo wale wale, wana msimamo ule ule na hawajabadirika kifikra 😐!!.
 
Lugha haijawahi kuwa kipimo cha Intelligence, kama ni hivyo watu wa Asia wasingewapiku waingereza IQ
Do you know that English is official language of this country?

Sasa kama lugha unayosomea kwa miaka 15 kuanzia O level, A level, Diploma ualimu, BA, MA hadi PhD kisha inakushinda wewe tatizo lako ni zaidi ya IQ.

Na hao wa Asia hawasomi kwa lugha za magharibi
 
Kibinafsi nachukua nafasi hii kumpongeza Dr Kimei mtanzania mzalendo kuteuliwa na CCM kugombea Vunjo ambaye aliuthibitishia ulimwengu kuwa hata wazawa Waweza geuza mashirika ya umma ya wazawa yakashindanana ndani na kimataifa kwenye biashara za ushindani

Aliibadilisha CRDB iliyokuwa inakata roho Hadi kuwa benki ya kutegemewa ndani ya nchi na benki ya kwanza ya ndani kuwa na Matawi nje ya Nchi

Hongera Dr Kimei you deserve to be a member of parliament by virtue of your ability

Uwezo wako na performance inakubeba

Mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama anahitaji tu kuambiwa angalia CRDB kabla ya Dr Kimei na CRDB Baada ya Dr Kimei Kuingia

I wish you all the Best Dr Kimei
Nakuunga mkono na hata Kura kwa sasa zitabadilika
pia atamalizia barbara zote ndogondogo za mitaa ya Kilema, Marangu Mamba na mwika kupandisha mlimani
  • hata ule mpango wa kupandisha watalii wa ndani na nje kwa kiberenge uliokataliwa na Makamba na Kigwangwala na Makamba kuukataa mpango huo​
  • kuna upanuzi wa barabara kuanzia Marangu mtoni, Rombo kuzunguka Mlima kutokea Siha utakamilika​
sijui km anaweza aminika akapewa Uwaziri awamu hii
mwisho hivi kirefu cha CRDB ni kipi maana umemsifia sana kabla ya hapo UNAJUA waliipora toka Cooperative !!!!????
 
Kwan huyu si ndo Yule alipendekeza mkulu aongezewe muda au syo huyu
Yaah alileta sera ya Miaka 7 kwa Magu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Falaa sana lileee yani kujipendekezaa tuu
 
Do you know that English is official language of this country?

Sasa kama lugha unayosomea kwa miaka 15 kuanzia O level, A level, Diploma ualimu, BA, MA hadi PhD kisha inakushinda wewe tatizo lako ni zaidi ya IQ.

Na hao wa Asia hawasomi kwa lugha za magharibi
Umechanganyikiwa wewe, lugha ya kwanza ya Taifa Tanzania ni Kiswahili, hiyo nyingine ni ya pili, nenda mpaka huko asia, hiyo nyingine ni ya pili kwa nchi nyingi tu na bado inatumiwa vyuoni. Kumaster lugha sio issue sana.
 
Back
Top Bottom