Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Ni mjinga pekee anayeweza kukuazima akili yake kuamini unayoyaandika kwa kigezo cha kuja na sura ya kujifanya mwanachama wa CDM,This is typical CCM warriors mentality.Watanzania wa sasa siyo wajinga.
Ni kweli Watanzania wa sasa siyo wajinga lakini haimaanishi kuwa wajinga wamekwisha. Na wajinga waliobakia ni kama nyie mnaohangaika kumtoa Mbowe rumande wakati mwenzenu anatengeneza deals za kisiasa.

Hakuna cha Katiba wala lolote. Mbona mwaka 2014 aliwatoa UKAWA kwenye mchakato wa Katiba. Endeleeni na udwanzi
 
At least we have some people who can see things the way they're supposed to be seen. Waswahili walisema Serikali ina mkono mrefu. SSH akifanya mchezo hawezi kumaliza muda wake salama.
 
Yaani wenyewe wanaweka kesi ya madawa ya kulevya harafu wenyewe wanafuta wanakupa lingine la kukutwa na SMG wakati hata panga huna bongo kiboko ndio maana Nchi inakua kama ina laana hii rasilimali kibao ila hatujui tufanye nini kila kukicha kupeana kesi zisizo na kichwa wala miguu...
 
Hizi ndo bogus arguments (Fallacy)."A fallacy is an idea which many people believe to be true, but which is in fact false because it is based on incorrect information or reasoning".
 
Mtu ukishaanza kujiita kirusi (Stuxnet) unategemea tukuone mwerevu? wewe mwenyewe tu unajiona bogus-sasa kwann wengine tusijiaminishe kwamba wewe ni miongoni mwa hilo kundi la wajinga wachache mliopo Tanzania.
 
KUMKBE HATA SHERIA HUJUI UNAKUJA KUULIZA JF?
 
Kwa ulinzi mkubwa kama huu,inaonyesha huyu mstakiwa ana nguvu kubwa sana ya umma.Kwa nini serikali isitumie ushawishi wa watu kama hawa postively.i.e kama ilivyo kule Zenji.hadi kufikia kumshinikiza yule mbunge kujiuzulu kabla ya kuapishwa
Gaidi lazima alindwe kuepusha ghadhabu ya wananchi na pia kupoteza ushahidi.Tunategemea kesi hii kuwa mmarufu maana inakwenda kutoa fundisho kwa Magaidi wengine
 
KUMKBE HATA SHERIA HUJUI UNAKUJA KUULIZA JF?

Uliambiwa kila mwuliza swali hajui jibu lake huu si ndiyo uboya wenyewe sasa wa kweri kweri?

Kwamba umeng'ang'ania caps lock - dalili za wazi kuwa utakuwa ume panic jahazi linakwenda mrama.
 
Wananyooka sasa hivi leo kibatala kaongea kwa huruma machachari yote kwishaa na mnyika ndiyo anakwepa hata waandishi wa habari
Na bado ngoja ushahidi uanze kutoka so ajabu baadhi yao wakaunganishwa.Mnyika upooo
 
Niseme tu "Mama kapiga chura tekeeee"
 
Kesi za namna hii si Mara ya Kwanza kubambikizia wapinzani,na Mara zote wanashinda!
Hayo uliyoandika huna ushahidi nayo zaidi ya propaganda mfu!
Kama Mbowe amefanya hayo toka 1980 Basi tumekuwa na serikali za hovyo sana,wewe mlalahoi unajua lakini serikali zote ambazo zimekuwa zikimuwinda zimeshindwa kujua hilo!
Huna jipya!
 
Upuuzi mtupu ndo wanachoweza kwa bidii,hii nguvu si waitumie kujenga vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa vyoo vya misaadaa wazungu.Mambo yasiyoya maana ndo wanayaweza kwa bidii
 
Katiba mpya utuepusha na watawala dhaifu
 
Mtu ukishaanza kujiita kirusi (Stuxnet) unategemea tukuone mwerevu? wewe mwenyewe tu unajiona bogus-sasa kwann wengine tusijiaminishe kwamba wewe ni miongoni mwa hilo kundi la wajinga wachache mliopo Tanzania.
Nafuu Mimi kirusi kuliko wewe John mwenye Namba za Freemason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…