Environmental Security
Senior Member
- May 21, 2020
- 181
- 261
Namwona jasusi mbobezi kikatiza mbele ya askari akiwa na mvi na ndevu za mvi hajachana nywele na shati hajafunga vishkizo kama mzembe flan ivIjumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
View attachment 1882408
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao...
Nani kakwambia mahakama za Tanzania zipo huru chini ya hii katiba mbovu?Ukisema kubambikwa unaingilia Uhuru wa mahakama
Mbowe ni shujaaMwanahabari kazi yake ni kuripoti ukweli.Na Ukweli ni mchungu siku zote
Mbona wako wengi tu, ina maana umeshamsahahu Joyce Mukya, kiburudisho cha dj gaidi wetu?Kuna mke wa kiongozi aliye fikia kiwango cha Mke wa Dr. Slaa mama Mushumbuzi?
uliwahi kumuona mke wa Mbowe anakamatwa na polisi na kulala rumande?
uliwahi kumuona mke wa Mnyika au Mrema au Kibatala anakamatwa?! jiongeze wewe acha kupoteza mwelekeo wa maisha yako. nenda katafute acha wahangaike wenye uhakika.
So what?- "Watanzania siyo wajinga"-Magufuli. Hz unazoleta ni very cheap propaganda,if they are true-Weka ushahd hadharan kuisaidia serikali ili ashtakiwe kwa money laundering-otherwise utakuwa unajenga mawazo rubbishMbowe yuko kibiashara zake zaidi. Ukombozi utajikomboa wewe mwenyewe. Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kutoka kwa Edward Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa. Hiyo ndiyo sababu ya Lipumba kumuasi Maalim Seif na Dr Slaa kukimbilia Canada..
Wajinga mnashikishwa mabango ya #FreedomForMbowe kwa kisingizio anapigania Katiba mpya wakati familia yake inakula maisha Dubai. Nani kawaroga nyie??
Muache atumikie laana ya Dr Slaa
Gaidi hajawahi kuwa shujaa popote duniani.Mbowe ni shujaa
Mnatufanya wananchi wote wajinga lakini ,ukweli ni kwamba tuna akili.Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu...
Haijawahi badili chochote ,tozo bado zipo na kodi kedekede zaja.Huo mwanzo tu mambo moto yaja mpaka akili zikae sawa.Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Kudai katiba ni uhuni? Au unadhani katiba mpya itashuka Kama mana?Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
Mkuu wamezoea vya kuchinja,wanataka 2025 waharibu tena uchaguzi kama yule jamaa yao alielala, hawataki kujifunza katiba hii ndio inawapa nguvu ya kufanya hujuma wakisaidiwa na yale makundi yao pendwa usalama wa Taifa na polisi hatuitakiiii.Mtapata sana taabu. Tutachanga hadi kuku kuhakikisha haki inapatikana.
Upande wa pili wanaopiga watu,unamaanisha nao wanabangaiza? si ndo maana wanatumia nguvu nyingi kulinda vitumbua vyao.Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Joined Sunday !Gaidi hajawahi kuwa shujaa popote duniani.