Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
View attachment 1882408
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao...
Namwona jasusi mbobezi kikatiza mbele ya askari akiwa na mvi na ndevu za mvi hajachana nywele na shati hajafunga vishkizo kama mzembe flan iv
 
Kuna mke wa kiongozi aliye fikia kiwango cha Mke wa Dr. Slaa mama Mushumbuzi?
uliwahi kumuona mke wa Mbowe anakamatwa na polisi na kulala rumande?
uliwahi kumuona mke wa Mnyika au Mrema au Kibatala anakamatwa?! jiongeze wewe acha kupoteza mwelekeo wa maisha yako. nenda katafute acha wahangaike wenye uhakika.
Mbona wako wengi tu, ina maana umeshamsahahu Joyce Mukya, kiburudisho cha dj gaidi wetu?
 
Mbowe yuko kibiashara zake zaidi. Ukombozi utajikomboa wewe mwenyewe. Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kutoka kwa Edward Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa. Hiyo ndiyo sababu ya Lipumba kumuasi Maalim Seif na Dr Slaa kukimbilia Canada..

Wajinga mnashikishwa mabango ya #FreedomForMbowe kwa kisingizio anapigania Katiba mpya wakati familia yake inakula maisha Dubai. Nani kawaroga nyie??

Muache atumikie laana ya Dr Slaa
 
Leo zandrano habanduki humu kwani huo ndio wajibu waliopewa michepuko ya mikesha ya mwenge kama yeye.

zandrano, mbona uko peke yako hadi sasa? johnthebaptist na Kamanda Asiyechoka wamekususia nini!

zandrano, Idugunde na Dr Akili pamoja na IDEGENDA wako wapi? Hii mbona si dalili nzuri kwako?

zandrano, wapigie simu Phillipo Bukililo na Magonjwa Mtambuka waje haraka upate muda wa kupumzika.

zandrano? Masikini zandrano mbona unateseka namna hii peke yako? Pole sana zandrano, balaa gani hii umejitakia!

zandrano yaani hata mama D hajasogea akutupie hata kamba! Kweli unakubali kuzama peke yako, pole sana!
 
Tumekuwa wapole mno. Hili ndio tatizo naloliona kwa sisi wananchi na chadema pia.
Tunahitaji viongozi wa aina ya marehemu Alfonce Mawazo. Heche na Sugu. Hawa sio waoga.
 
Jamaa nilimtoa nyota kwa kauli ya korona, ila kwa hizi roho mbaya wanazo mfanyia na uvumilivu alio nao, namrudishia double nyota asee... Laana ya machafuko iwafikie wote walioweka huu mkakati wa kumtesa huyu mwamba
 
IMG_20210806_104303.jpg
 
Mbowe yuko kibiashara zake zaidi. Ukombozi utajikomboa wewe mwenyewe. Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kutoka kwa Edward Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa. Hiyo ndiyo sababu ya Lipumba kumuasi Maalim Seif na Dr Slaa kukimbilia Canada..

Wajinga mnashikishwa mabango ya #FreedomForMbowe kwa kisingizio anapigania Katiba mpya wakati familia yake inakula maisha Dubai. Nani kawaroga nyie??

Muache atumikie laana ya Dr Slaa
So what?- "Watanzania siyo wajinga"-Magufuli. Hz unazoleta ni very cheap propaganda,if they are true-Weka ushahd hadharan kuisaidia serikali ili ashtakiwe kwa money laundering-otherwise utakuwa unajenga mawazo rubbish
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu...
Mnatufanya wananchi wote wajinga lakini ,ukweli ni kwamba tuna akili.

Unataka kuniambia tanzania inaizidi kenya maendeleo?

Watawala wa kenya walipojifanya kichwa ngumu watu walitumia nguvu ya umma na leo wana katiba mpya.

Sisi tumezoea amani ni kweli,lakini pia mchakato wa katiba uliendeshwa kwa amani ikafikia ilipofikia,na mchakato ulikotoka ni parefu nikimaanisha fedha iliyotumika ni nyingi kuliko tuendako. Kwanini huu mchakato haufikii mwisho?

Wenye akili tunajua hata bila kuambiwa kwamba kinachoogopwa ni tume huru ya uchaguzii baasi na si katiba kama katiba,basi achana na katiba unda tume huru ya uchaguzi.

Sasa hamuoni hapo ninyi ndo mnafanya uhuni? Kwani bunge la katiba si lilikuwa na asilimia kubwa ya wanachama wenu
na wakapitisha kipengere hicho,sasa kwann mnakimbia kivuli chenu wenyewe?

Sasa hapo mhuni ni nani?,aliyeanzisha mchakato au anayedai mchakato ukamilishwe?
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Haijawahi badili chochote ,tozo bado zipo na kodi kedekede zaja.Huo mwanzo tu mambo moto yaja mpaka akili zikae sawa.
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
Kudai katiba ni uhuni? Au unadhani katiba mpya itashuka Kama mana?
 
Mtapata sana taabu. Tutachanga hadi kuku kuhakikisha haki inapatikana.
Mkuu wamezoea vya kuchinja,wanataka 2025 waharibu tena uchaguzi kama yule jamaa yao alielala, hawataki kujifunza katiba hii ndio inawapa nguvu ya kufanya hujuma wakisaidiwa na yale makundi yao pendwa usalama wa Taifa na polisi hatuitakiiii.

Hongera Mbowe Mungu akutie nguvu,umewafanya wakoloni weusi wasilale maana wanajua mabadiliko ya katiba ni kiama chao.Wamejaribu kukununua ili Chadema iwe kama CUF ya Lipumba lakini wapi??shikilia hapo hapo hadi gunia la misumali walitue.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Upande wa pili wanaopiga watu,unamaanisha nao wanabangaiza? si ndo maana wanatumia nguvu nyingi kulinda vitumbua vyao.
Ni kwanini utumie nguvu kubwa ili uwatumikie wananchi?
 
Back
Top Bottom