Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Duh... Kufadhili? Si walisema gaidi? Nilijua kavaa bomu akaenda kwenye mkusanyiko wa watu, kabla hajafyatua fuse akakamatwa! Kumbe kufadhili?

Hamna kesi hapo!
 
umemlipua vibaya sana
 
Unatoa taarifa ya yaliyojili au unaleta ushabiki njaa? Aliyebambikiwa!!
 
Hivi kweli wanategemea watu watavamia Mahakama kutoa Mbowe?

Amandla...
 
Na watu wake wote
Kitu ambacho serikali na the co wanatakiwa kujua ni kwamba suala la kudai KATIBA MPYA Ni suala Endelevu! Yaani wao hata wakitaka kumuua Mhe. MBOWE wamuue ila hiyo haitoondoa KIU ya KATIBA MPYA!

Shujaa Mwendazake Ni Kama vile aliletwa na Mungu Miaka hii michache ili kutuonyesha udhaifu mkubwa wa katiba iliyopo! Hivyo zoezi la kudai Katiba mpya haliwezi kuzuiliwa na hii kesi.. Kesi ipo na Itaisha ila Madai ya KATIBA MPYA YAPO mpaka kieleweke.
 
YAANI SIKU ZINAVYOSONGA MBELE IDADI YA WAHUDHURIAJI INAPUNGUAKWA KASI SANA HUWEZI AMINI WALIOKUJA JANA NALEO NI TOFAUTI SANA LEO WAMEWEZA KUENEA NDANI YA MAHAKAMA NJEHAWAKUBAKI MWISHO UTAKUTAWANAKWENDA WATU HATA 20 HAWAFIKI
 
mama kasema apewe muda hajakataa
 
Heeee!Sukuma Gang tumjoini Mwamba watamuumiza isee hata mzee stone angeshangaa
 
Mnaolalamika leo ndo wale mlioshangilia wakati wa Sabaya...tambueni tu dunia inajizungusha kwenye muhimili wake.Saivi timu Sukuma Gang na Timu Mbowe wote wimbo ni mmoja...lile neno anaupiga mwingi limepotea gafla!
Haha

Kwahiyo haya mashtaka yamekuja ili kubalance hilo suala la Sabaya? Acha wazungu waendelee kutuita tu manyani.
 
mama kasema apewe muda hajakataa
Muda ndio Mkuu! Yeye anamiadi na Mungu? Yu wapi Mtangulizi wake,?Hata miezi 6 haijapita tushasahau kua binadamu ni maua tu? Leo lipo kesho linanyauka!

Linalowezekana Leo, lisingoje Kesho!
 
Muda ndio Mkuu! Yeye anamiadi na Mungu? Yu wapi Mtangulizi wake,?Hata miezi 6 haijapita tushasahau kua binadamu ni maua tu? Leo lipo kesho linanyauka!

Linalowezekana Leo, lisingoje Kesho!
Kwani akitoka mama hawezi kuja mtumwingine kuendelea na katiba mpya? ile ni taasisi siyo kiti cha mtu
 
Siasa raha sana, na inapendeza Kama huna kazi ya kufanya. Hongereni wananchi wa Jamhuri ya JF.

Sio kila mtu ameajiriwa, wengine ni watu huru wanafanya watakacho. Ndio maana hujaona mtu akitoka kwenye hayo mambo kuja kwako kukuomba chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…