Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemlipua vibaya sanaLeo zandrano habanduki humu kwani huo ndio wajibu waliopewa michepuko ya mikesha ya mwenge kama yeye.
zandrano, mbona uko peke yako hadi sasa? johnthebaptist na Kamanda Asiyechoka wamekususia nini!
zandrano, Idugunde na Dr Akili pamoja na IDEGENDA wako wapi? Hii mbona si dalili nzuri kwako?
zandrano, wapigie simu Phillipo Bukililo na Magonjwa Mtambuka waje haraka upate muda wa kupumzika.
zandrano? Masikini zandrano mbona unateseka namna hii peke yako? Pole sana zandrano, balaa gani hii umejitakia!
zandrano yaani hata mama D hajasogea akutupie hata kamba! Kweli unakubali kuzama peke yako, pole sana!
Na watu wake woteMungu ibariki Chadema
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao.
Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro bila aibu aliitisha Mkutano wa wanahabari bila kujali anaingilia Uhuru wa Mahakama alimshambulia Freeman Mbowe na kumhukumu kwa kesi hii ya kubambikwa. Simon Sirro alienda mbali na kutumia mpaka udini kuhalalisha madai yake ya uongo dhidi ya Mbowe.
Kama ilivyokuwa Jana tunatarajia idadi kubwa ya Wananchi kuhudhuria kesi hii wakiwemo vijana, wanawake na Wazee.
Dunia imesimama na wapigania haki Tanzania na tayari mpaka Jana nchi kadhaa duniani zimetoa matamko ya kufuatilia kesi hii kwa ukaribu ikiwemo Marekani, Canada, Uswiss, Uingereza, European Eunion na Umoja wa Mataifa (UN)
Molemo media tayari tumetinga hapa Kisutu kuripot yanayoendelea mwanzo mwisho.
Updates saa 2.30 Asubuhi
Mpigania haki wa Tanzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakama ya Kisutu chini ya Ulinzi mkali wa Askari wenye silaha.
Mbowe Mara baada ya kushuka amenyoosha ishara ya vidole viwili kusalimia wananchi
=====
UPDATES:
Freeman Mbowe na Watu wengine watatu, Wamesomewa Mashitaka upya. Mbowe ana mashitaka Mawili ambayo ni
1. Kula njama kwa nia ya kutenda kosa(Wote)
2. Kosa la kufadhili Vitendo vya Ugaidi kwa kutoa pesa.(Mbowe)
3.Kukusanya fedha kwa lengo kutekeleza vitendo vya ugaidi
4.Kupatikana na siraha isivyo halali(Mshitakiwa wa tatu)
5.Kupatikana na risasi isivyo halali(Adam)
6.kukutwa na sare za jeshi(Alfan)
Shitaka ambalo limeondolewa ni la dawa za kulevya.
Upelelezi umekamilika wanasubiri jalada kutoka kwa DPP. Kesi imeahirishwa hadi 13|08|2021
Zaidi soma: Thread 'Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua' News Alert: - Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua
Thread 'Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021' Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

ndio amebambikwa , ndio maana hadi sasa DPP Haelewi apeleke jalada au laUnatoa taarifa ya yaliyojili au unaleta ushabiki njaa? Aliyebambikiwa!!
Kitu ambacho serikali na the co wanatakiwa kujua ni kwamba suala la kudai KATIBA MPYA Ni suala Endelevu! Yaani wao hata wakitaka kumuua Mhe. MBOWE wamuue ila hiyo haitoondoa KIU ya KATIBA MPYA!Na watu wake wote
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao.
Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro bila aibu aliitisha Mkutano wa wanahabari bila kujali anaingilia Uhuru wa Mahakama alimshambulia Freeman Mbowe na kumhukumu kwa kesi hii ya kubambikwa. Simon Sirro alienda mbali na kutumia mpaka udini kuhalalisha madai yake ya uongo dhidi ya Mbowe.
Kama ilivyokuwa Jana tunatarajia idadi kubwa ya Wananchi kuhudhuria kesi hii wakiwemo vijana, wanawake na Wazee.
Dunia imesimama na wapigania haki Tanzania na tayari mpaka Jana nchi kadhaa duniani zimetoa matamko ya kufuatilia kesi hii kwa ukaribu ikiwemo Marekani, Canada, Uswiss, Uingereza, European Eunion na Umoja wa Mataifa (UN)
Molemo media tayari tumetinga hapa Kisutu kuripot yanayoendelea mwanzo mwisho.
Updates saa 2.30 Asubuhi
Mpigania haki wa Tanzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakama ya Kisutu chini ya Ulinzi mkali wa Askari wenye silaha.
Mbowe Mara baada ya kushuka amenyoosha ishara ya vidole viwili kusalimia wananchi
=====
UPDATES:
Freeman Mbowe na Watu wengine watatu, Wamesomewa Mashitaka upya. Mbowe ana mashitaka Mawili ambayo ni
1. Kula njama kwa nia ya kutenda kosa(Wote)
2. Kosa la kufadhili Vitendo vya Ugaidi kwa kutoa pesa.(Mbowe)
3.Kukusanya fedha kwa lengo kutekeleza vitendo vya ugaidi
4.Kupatikana na siraha isivyo halali(Mshitakiwa wa tatu)
5.Kupatikana na risasi isivyo halali(Adam)
6.kukutwa na sare za jeshi(Alfan)
Shitaka ambalo limeondolewa ni la dawa za kulevya.
Upelelezi umekamilika wanasubiri jalada kutoka kwa DPP. Kesi imeahirishwa hadi 13|08|2021
Zaidi soma: Thread 'Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua' News Alert: - Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua
Thread 'Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021' Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021
mama kasema apewe muda hajakataaKitu ambacho serikali na the co wanatakiwa kujua ni kwamba suala la kudai KATIBA MPYA Ni suala Endelevu! Yaani wao hata wakitaka kumuua Mhe. MBOWE wamuue ila hiyo haitoondoa KIU ya KATIBA MPYA!
Shujaa Mwendazake Ni Kama vile aliletwa na Mungu Miaka hii michache ili kutuonyesha udhaifu mkubwa wa katiba iliyopo! Hivyo zoezi la kudai Katiba mpya haliwezi kuzuiliwa na hii kesi.. Kesi ipo na Itaisha ila Madai ya KATIBA MPYA YAPO mpaka kieleweke.
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao.
Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro bila aibu aliitisha Mkutano wa wanahabari bila kujali anaingilia Uhuru wa Mahakama alimshambulia Freeman Mbowe na kumhukumu kwa kesi hii ya kubambikwa. Simon Sirro alienda mbali na kutumia mpaka udini kuhalalisha madai yake ya uongo dhidi ya Mbowe.
Kama ilivyokuwa Jana tunatarajia idadi kubwa ya Wananchi kuhudhuria kesi hii wakiwemo vijana, wanawake na Wazee.
Dunia imesimama na wapigania haki Tanzania na tayari mpaka Jana nchi kadhaa duniani zimetoa matamko ya kufuatilia kesi hii kwa ukaribu ikiwemo Marekani, Canada, Uswiss, Uingereza, European Eunion na Umoja wa Mataifa (UN)
Molemo media tayari tumetinga hapa Kisutu kuripot yanayoendelea mwanzo mwisho.
Updates saa 2.30 Asubuhi
Mpigania haki wa Tanzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakama ya Kisutu chini ya Ulinzi mkali wa Askari wenye silaha.
Mbowe Mara baada ya kushuka amenyoosha ishara ya vidole viwili kusalimia wananchi
=====
UPDATES:
Freeman Mbowe na Watu wengine watatu, Wamesomewa Mashitaka upya. Mbowe ana mashitaka Mawili ambayo ni
1. Kula njama kwa nia ya kutenda kosa(Wote)
2. Kosa la kufadhili Vitendo vya Ugaidi kwa kutoa pesa.(Mbowe)
3.Kukusanya fedha kwa lengo kutekeleza vitendo vya ugaidi
4.Kupatikana na siraha isivyo halali(Mshitakiwa wa tatu)
5.Kupatikana na risasi isivyo halali(Adam)
6.kukutwa na sare za jeshi(Alfan)
Shitaka ambalo limeondolewa ni la dawa za kulevya.
Upelelezi umekamilika wanasubiri jalada kutoka kwa DPP. Kesi imeahirishwa hadi 13|08|2021
Zaidi soma: Thread 'Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua' News Alert: - Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua
Thread 'Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021' Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021
Mnaolalamika leo ndo wale mlioshangilia wakati wa Sabaya...tambueni tu dunia inajizungusha kwenye muhimili wake.Saivi timu Sukuma Gang na Timu Mbowe wote wimbo ni mmoja...lile neno anaupiga mwingi limepotea gafla!
Haha
Muda ndio Mkuu! Yeye anamiadi na Mungu? Yu wapi Mtangulizi wake,?Hata miezi 6 haijapita tushasahau kua binadamu ni maua tu? Leo lipo kesho linanyauka!mama kasema apewe muda hajakataa
mama kasema apewe muda hajakataa
Kwani akitoka mama hawezi kuja mtumwingine kuendelea na katiba mpya? ile ni taasisi siyo kiti cha mtuMuda ndio Mkuu! Yeye anamiadi na Mungu? Yu wapi Mtangulizi wake,?Hata miezi 6 haijapita tushasahau kua binadamu ni maua tu? Leo lipo kesho linanyauka!
Linalowezekana Leo, lisingoje Kesho!
Kwani mnaharaka gani na hiyo katiba mpya inakunyima nini wewe hhebu tuanzie hapo kwanzaMuda mpaka lini, alitaja muda au ni muda atakaojisikia yeye?
Atakayekuja akiwa na mtazamo Kama wa Rais wa Sasa Je?kwani akitoka mama hawezi kuja mtumwingine kuendelea na katiba mpya? ile ni taasisi siyo kiti cha mtu
Magaidi wana mbinu nyingi hawaaminikiBongo bana naona hadi wamepanda juu ya paa kama ulinzi wa Obama alivyoingia magogoni.
Kweli kuishi kwingi kuona mengi.
Siasa raha sana, na inapendeza Kama huna kazi ya kufanya. Hongereni wananchi wa Jamhuri ya JF.