Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

LEO SIJAZOOM KUWAONA ILA WANAONEKANA WAZI, JAMAA ZANGU WA "ANAUPIGA MWINGI" MAANA WAMEANZA KUNYOOKA KAMA TARATIBU.
 
Jambo la uhakika kabisa ni kwamba ccm hawana akili za kutosha kumfunga Mbowe

Jambo la muhimu ni chadema kuendeleza movement hata kama kiongozi yuko ndani kwa kuwa lengo lao Ni kuwaondoa kwenye reli

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hawana akili hiyo sasahivi akili yote kwa mbowe na hawawezi kwenda mbele bila ya mbowe
 
kwani mnaharaka gani na hiyo katiba mpya inakunyima nini wewe hhebu tuanzie hapo kwanza
Sio kwamba tuna haraka, bali tuko nje ya muda. Katiba hii inatunyima kupata viongozi tunaowataka, kiasi kwamba vipao mbele vyetu ya maendeleo havitekelezwi, bali vinatekelezwa vya viongozi.
 
Wapo weusi wengi km wewe waliomwona Mandela, Mbeki, Zuma hivyo hivyo kwenye miaka ya 60, 70, 80... Wewe siyo wa kwanza. Kwa mawazo yako hata Nyerere alikuwa mpumbavu kwa kuanzisha TANU na kudai uhuru badala ya kuendelea kufundisha Pugu sekondari na kutafuta chakula kwa ajili ya Mama Maria na akina Makongoro.
watoto wa mbowe,mke wake, mke wa mnyika, kibatala, Mrema n.k wametulia tuli nyumbani na familia zao wewe unaenda kuhatarisha maisha yako na mwisho unaenda segera, halafu unadhani eti wewe ni shujaa!! ni upumbavu, jiongeze.
nenda katafute chakula chako na mkeo au na mume wako na watoto wako
 
Leo wametoa sababu gani ya kuahirisha kesi? Au pen hazina wino?
Nalog off
 
Badala ya kubun namna ya upataj Kodi kwa ajili ya kuinua taifa..mnadil na mbowe ambae kesi zote anazobambikiwa mwishon anashinda...
 
Sio kwamba tuna haraka, bali tuko nje ya muda. Katiba hii inatunyima kupata viongozi tunaowataka, kiasi kwamba vipao mbele vyetu ya maendeleo havitekelezwi, bali vinatekelezwa vya viongozi.
Mko nje ya muda gani mkuu mbona mwaka jana tu hii kitu haikuwepo? kawanini imeanza baada ya jpm kuondoka? nikikuuliza vipaumbele gani vya wananchi havitekelewzwi utaniambia ? mambo yote hayo serikali hii sikivu inayofanya unaona ni madogo?
 
2021 mengi Sana makubwa yatatokea..Kuna uwezekano wa kiongoz mwingine mkubwa kuukwaa upresidaa bila kampen
 
Waliopigania uhuru wangekuwa na angalau 1% ya ubinafsi uliyonao WEWE hata huyo aliemzaa baba yako asingekuwa na uwezo wa kumlea. WEWE ndio sijui kabisa
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
 
katika viongozi waoga ni pambalu tangu jana hajaonekana na alikuwa anawaambia watu waje kwawingi ili awe anawaangalia kwenye tv wanvyopigwa
 
Mko nje ya muda gani mkuu mbona mwaka jana tu hii kitu haikuwepo? kawanini imeanza baada ya jpm kuondoka? nikikuuliza vipaumbele gani vya wananchi havitekelewzwi utaniambia ? mambo yote hayo serikali hii sikivu inayofanya unaona ni madogo?

Hili suala la katiba mpya lilianza baada ya mfumo wa vyama vingi, nadhani ulikuwa hujazaliwa. Hivi tunavyoongea kuna katiba pendekezwa inayosubiri kupigiwa kura, na yenyewe imenajisiwa na ccm. Hata wakati wa JPM katiba mpya iliendelea kudaiwa ndio maana akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, na akaamua kuanzisha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kuua wote wanaotaka uhuru wa mambo hayo. Na kwa taarifa yako, utawala ule wa kishenzi wa JPM, umechagiza kwa kiasi kikubwa kuidai katiba mpya. Serekali hii sio sikivu ndio maana imegoma kuondoa tozo kandamizi.
 
katika viongozi waoga ni pambalu tangu jana hajaonekana na alikuwa anawaambia watu waje kwawingi ili awe anawaangalia kwenye tv wanvyopigwa

Ni sifa kupiga watu wanaohudhuria mahakamani kwa amani? Umeandika kama vile ni sifa kupiga raia wema bila kosa.
 
Muda mpaka lini, alitaja muda au ni muda atakaojisikia yeye?
Huu muda ulianza kwa Kikwete alipiga dana dana akamuachia mwendazake nae alipiga dana dana sasa bibi wa kudemka ameanza dana dana zile zile.
 
Duh... Kufadhili? Si walisema gaidi? Nilijua kavaa bomu akaenda kwenye mkusanyiko wa watu, kabla hajafyatua fuse akakamatwa! Kumbe kufadhili?

Hamna kesi hapo!
Hoja yako ni mbovu kweli. Ugaidi unaelewa hasa maana yake?
 
Back
Top Bottom