Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATI YA MAENDELEO NA KATIBA WEWE UNAPENDA NINI HAPO?Hili suala la katiba mpya lilianza baada ya mfumo wa vyama vingi, nadhani ulikuwa hujazaliwa. Hivi tunavyoongea kuna katiba pendekezwa inayosubiri kupigiwa kura, na yenyewe imenajisiwa na ccm. Hata wakati wa JPM katiba mpya iliendelea kudaiwa ndio maana akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, na akaamua kuanzisha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kuua wote wanaotaka uhuru wa mambo hayo. Na kwa taarifa yako, utawala ule wa kishenzi wa JPM, umechagiza kwa kiasi kikubwa kuidai katiba mpya. Serekali hii sio sikivu ndio maana imegoma kuondoa tozo kandamizi.
NYIE NDIYO MNAYATAKA MNGETULIA KUMSUBIRI MAMA KWA WAKATI NDIYO ALETE MJADARA WA KATIBA YASINGETOKEAHAYOKodi za wananchi ndio zinaungua hapo.
Mwisho wa siku utasika (mbowe) hana hatia, hivi kwanini munapenda kutumia kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija?
Mimi sihusiki kwa lolote, kwanza mimi sio Chadema na sijawahi kuwakubali.NYIE NDIYO MNAYATAKA MNGETULIA KUMSUBIRI MAMA KWA WAKATI NDIYO ALETE MJADARA WA KATIBA YASINGETOKEAHAYO
UNAONEKANA UNAWEZA KUWA NA MAWAZO MAZURI ILA HUJAPATA PA KUYATUMIA NDUGU NI HIVI VIASHIRIA VYA UGAIDI NCHINI VIPO UNAKUMBUKA MAMBO YA IKWIRIRI YALIVYOKUWA? HUO SIYOUGAIDI? NA SASA IGP AMEREJESHA TENA ULINZI HUKO UKUTE HAOHAO KINA MBOWE NDIYO WAHUSIKA ILI KUICHAFUA NCHI IONEKANE HAIFAI MBOWE NI MRAFI WA MADARAKA TU KAONA AKISHINIKIZA KATIBA MPYA KILE KIPENGELE CHA TUME HURU NDIYO ANAKITAKA HAKUNA LINGINE HAPO HAJUI HATA IKIWEPO HAWEZI KUINGIA MADARAKANIMimi sihusiki kwa lolote, kwanza mimi sio Chadema na sijawahi kuwakubali.
Lakini ukweli usemwe, we ushawahi sikia ama kushuhudia tukio lolote linalo ashiria ugaidi hapa nchini?
Me inaniuma ninapoona kodi ya Wananchi ikitumika vibaya, labda uniambie kama kuindesha kesi hiyo haitatumika kodi zetu Wananchi.
Tuijenge nchi yetu, maana hii siyo siyo mali ya mtu mmoja wala kikundi flani, hii ni nchi yetu sote.
Nb. Sina chama,wala sitegei kua na chama, mpaka mwisho wa maisha yangu, ila ninapoona ujinga lazima niukemee.
Alichobabikizwa ni kip hapo??Yakubambikiwa, tena ugaidi kisa mnaogopa dai pendwa la Wantanzania Katiba mpya.
Basi ccm watakuwa wamefanikiwaHawana akili hiyo sasahivi akili yote kwa mbowe na hawawezi kwenda mbele bila ya mbowe
Tumia ubongo kuwazaKula? Ungali unawaza kula? Mbona hata kuku wa kienyeji ala?
HaitusaidiiFree Freeman Mbowe [emoji1479]
Wewe na nani?Haitusaidii
Na Mke wakoWewe na nani?
Ingawa umemuuliza mtu mwengine ila Mimi nitajibu kwa Upande wangu! Katiba iliyopo inaninyima nafkwani mnaharaka gani na hiyo katiba mpya inakunyima nini wewe hhebu tuanzie hapo kwanza
😂😂😂😂😂Niacheni nipumzike jamani.
Mbona mzee wa "Uwazi na ukweli" hamumjadili hovyo
Kwako ni upuuzi,basi waachie wanaojua wanachokifanya,endelea kubangaiza na familia yako Bila kujua kwanini unabangaiza.Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Wewe unafikiri nini?kwani kesi nanayotuhumiwa nayo ni gani?Alichobabikizwa ni kip hapo??
😁 Mkuu hawa jamaa huwa tunawaambia watulie na wasikurupuke maana haya mambo siyo ya kusema eti 100 days anaupiga mwingi, leo hata kuLIKE wanaogopa.Wananyooka sasa hivi leo kibatala kaongea kwa huruma machachari yote kwishaa na mnyika ndiyo anakwepa hata waandishi wa habari
Wanachokitafuta hawa mbwa Koko CCM watakipata tu,Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.
Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao
Na pia ana roho mbaya, ni mbinafsi, mchawi, mwenye akili ndogo, na uwezo mdogo kabisa wa kufikiri!Hii kesi ya Mbowe and the same ndizo zinazodhihirisha kuwa Mwafrika ni mtu katili na hana dini
Poa, endeleeni na show yenu, lakini ikioneka kwamba Mbowe hana hatia, na mwisho wa show tukamuona uraiani, basi Wananchi aina yangu tutaamini kua pesa zetu (kodi zetu) mumezitumia vibaya, na hilo ni kosa.UNAONEKANA UNAWEZA KUWA NA MAWAZO MAZURI ILA HUJAPATA PA KUYATUMIA NDUGU NI HIVI VIASHIRIA VYA UGAIDI NCHINI VIPO UNAKUMBUKA MAMBO YA IKWIRIRI YALIVYOKUWA? HUO SIYOUGAIDI? NA SASA IGP AMEREJESHA TENA ULINZI HUKO UKUTE HAOHAO KINA MBOWE NDIYO WAHUSIKA ILI KUICHAFUA NCHI IONEKANE HAIFAI MBOWE NI MRAFI WA MADARAKA TU KAONA AKISHINIKIZA KATIBA MPYA KILE KIPENGELE CHA TUME HURU NDIYO ANAKITAKA HAKUNA LINGINE HAPO HAJUI HATA IKIWEPO HAWEZI KUINGIA MADARAKANI