Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

Kodi za wananchi ndio zinaungua hapo.
Mwisho wa siku utasika (mbowe) hana hatia, hivi kwanini munapenda kutumia kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija?
 
Hili suala la katiba mpya lilianza baada ya mfumo wa vyama vingi, nadhani ulikuwa hujazaliwa. Hivi tunavyoongea kuna katiba pendekezwa inayosubiri kupigiwa kura, na yenyewe imenajisiwa na ccm. Hata wakati wa JPM katiba mpya iliendelea kudaiwa ndio maana akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, na akaamua kuanzisha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kuua wote wanaotaka uhuru wa mambo hayo. Na kwa taarifa yako, utawala ule wa kishenzi wa JPM, umechagiza kwa kiasi kikubwa kuidai katiba mpya. Serekali hii sio sikivu ndio maana imegoma kuondoa tozo kandamizi.
KATI YA MAENDELEO NA KATIBA WEWE UNAPENDA NINI HAPO?
 
Kodi za wananchi ndio zinaungua hapo.
Mwisho wa siku utasika (mbowe) hana hatia, hivi kwanini munapenda kutumia kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija?
NYIE NDIYO MNAYATAKA MNGETULIA KUMSUBIRI MAMA KWA WAKATI NDIYO ALETE MJADARA WA KATIBA YASINGETOKEAHAYO
 
NYIE NDIYO MNAYATAKA MNGETULIA KUMSUBIRI MAMA KWA WAKATI NDIYO ALETE MJADARA WA KATIBA YASINGETOKEAHAYO
Mimi sihusiki kwa lolote, kwanza mimi sio Chadema na sijawahi kuwakubali.
Lakini ukweli usemwe, we ushawahi sikia ama kushuhudia tukio lolote linalo ashiria ugaidi hapa nchini?

Me inaniuma ninapoona kodi ya Wananchi ikitumika vibaya, labda uniambie kama kuindesha kesi hiyo haitatumika kodi zetu Wananchi.

Tuijenge nchi yetu, maana hii siyo siyo mali ya mtu mmoja wala kikundi flani, hii ni nchi yetu sote.

Nb. Sina chama,wala sitegei kua na chama, mpaka mwisho wa maisha yangu, ila ninapoona ujinga lazima niukemee.
 
UNAONEKANA UNAWEZA KUWA NA MAWAZO MAZURI ILA HUJAPATA PA KUYATUMIA NDUGU NI HIVI VIASHIRIA VYA UGAIDI NCHINI VIPO UNAKUMBUKA MAMBO YA IKWIRIRI YALIVYOKUWA? HUO SIYOUGAIDI? NA SASA IGP AMEREJESHA TENA ULINZI HUKO UKUTE HAOHAO KINA MBOWE NDIYO WAHUSIKA ILI KUICHAFUA NCHI IONEKANE HAIFAI MBOWE NI MRAFI WA MADARAKA TU KAONA AKISHINIKIZA KATIBA MPYA KILE KIPENGELE CHA TUME HURU NDIYO ANAKITAKA HAKUNA LINGINE HAPO HAJUI HATA IKIWEPO HAWEZI KUINGIA MADARAKANI
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
Kwako ni upuuzi,basi waachie wanaojua wanachokifanya,endelea kubangaiza na familia yako Bila kujua kwanini unabangaiza.
 
Wananyooka sasa hivi leo kibatala kaongea kwa huruma machachari yote kwishaa na mnyika ndiyo anakwepa hata waandishi wa habari
😁 Mkuu hawa jamaa huwa tunawaambia watulie na wasikurupuke maana haya mambo siyo ya kusema eti 100 days anaupiga mwingi, leo hata kuLIKE wanaogopa.
 
Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM.

Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao
Wanachokitafuta hawa mbwa Koko CCM watakipata tu,
 
Mashtaka ya kuokoteza hua yana chukua muda mrefu sana, rejea masheikh wa uamsho
 
Hii kesi ya Mbowe and the same ndizo zinazodhihirisha kuwa Mwafrika ni mtu katili na hana dini
Na pia ana roho mbaya, ni mbinafsi, mchawi, mwenye akili ndogo, na uwezo mdogo kabisa wa kufikiri!
 
Bila shaka sasa kila mwenye macho na masikio , ama ameona au amesikia , Kesi ya Mbowe imefunika hata mambo ya msingi kabisa ambayo yalipaswa kuwa ya kitaifa .

Misiba ya Taifa imefunikwa na kesi ya kupikwa , kiasi cha kusikitisha mno , yaani watu wote macho na masikio yao sasa ni Mahakamani kwenye kesi ya uongo ya ugaidi ! Ziara zote za Mh Rais anazofanya nje ya nchi zimemezwa utadhani alikuwa Chamwino na sasa amerejea DSM , media zote zinazoheshimika Duniani zinapoizungumzia Tanzania zinamtaja Mbowe tu , huku kukiwa na misiba mizito wa Waziri wa Ulinzi pamoja na Mzee Keenja na Mkewe , ambayo wala hata haisikiki tena , imefunikwa na kesi ya Mwamba Mbowe .

Ni wazi kesi ya UGAIDI wa Uongo dhidi ya Freeman Mbowe imetuachia funzo kubwa sana .

Haya_yote_ya_nini?_%0A%0A#MboweSioGaidi.jpg
 
UNAONEKANA UNAWEZA KUWA NA MAWAZO MAZURI ILA HUJAPATA PA KUYATUMIA NDUGU NI HIVI VIASHIRIA VYA UGAIDI NCHINI VIPO UNAKUMBUKA MAMBO YA IKWIRIRI YALIVYOKUWA? HUO SIYOUGAIDI? NA SASA IGP AMEREJESHA TENA ULINZI HUKO UKUTE HAOHAO KINA MBOWE NDIYO WAHUSIKA ILI KUICHAFUA NCHI IONEKANE HAIFAI MBOWE NI MRAFI WA MADARAKA TU KAONA AKISHINIKIZA KATIBA MPYA KILE KIPENGELE CHA TUME HURU NDIYO ANAKITAKA HAKUNA LINGINE HAPO HAJUI HATA IKIWEPO HAWEZI KUINGIA MADARAKANI
Poa, endeleeni na show yenu, lakini ikioneka kwamba Mbowe hana hatia, na mwisho wa show tukamuona uraiani, basi Wananchi aina yangu tutaamini kua pesa zetu (kodi zetu) mumezitumia vibaya, na hilo ni kosa.
 
Back
Top Bottom