Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

Unasahau kwamba kila chama cha siasa kilianzishwa kikiwa na mtazamo tofauti lasivyo vyama visingaliendea kusajiliwa.
 
Mbwa anayeuma hapigi kelele, Nccr Mageuzi ndio KUB.
 
Sio habari
 
Unasahau kwamba kila chama cha siasa kilianzishwa kikiwa na mtazamo tofauti lasivyo vyama visingaliendea kusajiliwa.
Mkuu kusajiliwa sio tatizo na hakuna anae kataza wao kuwa na mtazamo wao

Shida ni wao kutuaminisha kuwa tunafanya mazungumzo na chadema tufanye umoja ambao utawapa ushindi kuliko kugawana kura
 
Mkuu, inawezekana waalaaa hawakuhangaika kwenda kuomba kutangaziwa mkutano wao. Nasi, tunaweza kuwachukia bure hao wenye Tv zao.
Wangetuthibitishia kuwa waliomba, wakakataliwa ili nasi tuendelee kuwalaumu kwa njia mbali mbali!
Star tv tu kwny kile kipindi cha bbc cha kina Salim Kikeke ilikua Lissu alihojiwa akiwa huko nje wanakata matangazo yao kwa watazamaji,ITV siku lissu anahojiwa kwny Kipindi cha Hard talk marudio walikata matangazo na kuweka vitu vingine,Star tv matangazo ya Dw kwny radio mchana/jioni Lissu alikua akihojiwa wanakata matangazo kama kawaida.
 
Chama pekee kinacho fuata mfumo wa kishia wa Iran. Mfumo Ayatollah.
 
Huu Mkutano Mkuu wa ACT- Wazalendo umepoa sana!
Watu wamenuna, hawaimbi, wameambiwa wacheze kidogo hata hawataki. Shauri yenu.
 
Kumekuchaaaaa.. leo tutawajuwa.. wa ACT humu 😁
 
Kuna wapinzani ambao ni mawakala au mamluki wa ccm... wapo kazini
 
Naona mkutano wa ACT live ITV wawakilishi wa vyama vya siasa wametambulishwa lakini sijaona muwakilishi toka CHADEMA, hii naona kama haijakaa sawa ikizingatiwa hivi vyama kwa kauli yao vimetuambia vipo kwenye mazungumzo ya ushirikiano.

Update.
Ok namuona Mh. Lisu na Salum Mwalimu wanaingia. Atmosphere imebadilika bila shaka hii ndio ilikuwa ndio timing yao
 
Daimond jubilee sijawahi kuona
Samahani kwenye hiyo picha wa katikati Ni Nani kwenye Chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…