Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Sio shida, nipatie namba zake za simu kwanza mkuu; wanaume kusaidiana kakaNipe gari nikuachie.
Naona Tundu Lissu kaingia pale kwenye mkutano wa ACT kama mgeni rasmi
Mfumo kwa maana ya muondo.
Kwanini chadema wasiwaunge mkono ACT?Kuna wakati najiuliza hivi upinzani ni fikira za kusadikika au ni fikira zinazo ishi
Kama kweli chama cha ACT WAZALENDO
Kilikuwa na nia ya kushirikiana na chadema kilipaswa kuachana na mpango huu kilipaswa kiseme tunaungana na chadema kwenye uraisi
Na kwenye ubunge wangetengeneza majimbo ya kimkakati hii ingeonyesha hapa ndio upinzan unakuja na maono ya kukua sasa na nyinyi mnachagua tena wagombea ili wakashindane na ccm au chadema
Inawezekana walio chagua upande mapema hata kama maamuzi yao yalionekana ya kipuuzi kuliko mnao chagua kugawana kura
Au chama cha Act ndio walitaka wasimamishe mgombea na wakati chadema ila raslimali watu
Kweli adui wa upinzan ni wapinzan wenyewe
Habari ni hiyo ya TID Mnyama?Sio habari
Mkuu, kama umewekeza kwa yule mwanamke, hata tendo utakuwa unapata kwa kufuata vifungu vya sheria! Maana si kwa ujeuri na ujuaji ule!Mkuu tuheshimiane, huyo ni shemeji yako. Watu tumewekeza hapo.
msajili tunamsubiri aifute CHADEMA na ACT wabaki na TLPCCM NA CufccmChama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
https://www.facebook.com/AJENDA KUU
1. Kupitisha na kutangaza majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar
2. Kupitisha Ilani ya Chama ya 2020 kwa Uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano na Uchaguzi wa Zanzibar.
Sasa kinachoendelea na utambulisho na Ufunguzi kwa Maombi kutoka Madhehebu mbalimbali.
1153HRS: Maalim Seif anaingia kufungua Mkutano rasmi
Hotuba ya ufunguzi -- Maalim Seif Hamad
Ndugu kiongozi wa chama, ndugu makamo wa mwenyekiti, ndugu katibu mkuu na manaibu wako. ndugu wajumbe wa kamati kuu ndugu wajumbe wa halmashauri ya kamati kuu ya taifa ndugu wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa ndugu, ndugu wajumbe na wananchi na ndugu waalikwa wageni wetu.
Ndugu wananchi mkutano mkuu wa chama chetu leo umekutana, nina furaha kubwa kuwa leo tupo tumejumuika hapa kwenye mkutano mkuu wa chama hiki chenye miaka 6 tokea kuanzishwa kwake ni chama kichanga kuliko vyama vyote na kwakweli pamoja na uchanga wake ndugu Membe aliwahi kusema kuwa ni chama kinachokuwa kwa haraka kabisa.
Ngugu viongozi nichukue nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kukutana yena mara ya mwisho tulikutana mwezi Machi tulipokuwa na mkutano mkuu wa kawaida na mwezi huu wa nane tunakutana kwa mkutano mkuu maalum.
Mkuu, kama umewekeza kwa yule mwanamke, hata tendo utakuwa unapata kwa kufuata vifungu vya sheria! Maana si kwa ujeuri na ujuaji ule!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Miaka yote kabla ya uchaguzi huwaga anasema hivyo!Maalim Seif anasema safari hii CCM wasidhani kuwa Iwapo atashinda uchaguzi Zanzibar halafu CCM wakaleta figisu basi atafunga mikono, Safari hii anasema haki lazima iheshimiwe!
Siyo tatizo! Ni njia ya kutafuta kiki!Cdm wana tatizo la kujali muda.
Zitto akiacha papara kuna siku atakuwa rais wa tzZitto is speech tactician..... presentation yake ni level ya juu kabisa
Acha siasa za kitoto ww mkuda.
Wewe ndio umepewa kazi ya kunifanyia stalking hapa mtandsoni.