Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Hivi mkurugenzi si alitoabarua kuwa lisu mkutano wake ulikuwa tarehe 27 Leo sio ratiba ya Serengeti kwa hiyo imeshindikana kumzuia kufanya mkutano serengetiDuh huyu jamaa anakubalika mpaka kero.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkurugenzi si alitoabarua kuwa lisu mkutano wake ulikuwa tarehe 27 Leo sio ratiba ya Serengeti kwa hiyo imeshindikana kumzuia kufanya mkutano serengetiDuh huyu jamaa anakubalika mpaka kero.
Hivi lisu na magu nani ni kichaa?magu yeye alishasema yeye ni kichaa tena hadharaniLissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
Mkuu unafahamu umeandika madudu gani ?Hizo kwenye uwanja wa medani huwa zinatumika kuwatoa watu mteru 😅😅😅, hahahah! acheni kulialia CCM inaendelea kusonga mbele.
Ushindi ni kawaida yetu CCM.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Huelewi maana ya CCM kushinda tokea lini ukasikia CCM inashindwa?Mkuu unafahamu umeandika madudu gani ?
Mkuu waweza tupiwa mawe, na kumwagiwa nyuki humu, wacha mchezo kabisaa, ni hataariii...😂, unajitetea mapemaaa! Unaogopa kupopolewa mawe, kamanda!?
una umri gani ?Huelewi maana ya CCM kushinda tokea lini ukasikia CCM inashindwa?
Watanzania wanataka maendeleo sio porojo.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Huyu anaenda kuiangusha ccmLissu anatia moyo sana, atlist ni mpinzani ambae anaaminika
Asubuhi mapemaHuyu anaenda kuiangusha ccm
Aache kwenda kwenye tume ya maadili aone ! Anafikiri yeye wanashindwa kumuengua ???Lisu a.k.a kasema haendi kwenye tume ya maadili ya taifa Dodoma.
Hakuna wa kuwatangaza nyinyi, yaani mnajifariji tu .Atatangaza tu labda tuishinde.
Patachimbika , yako mengi ningekunong'oneza lakini jf ina sheria zakeHakuna wa kuwatangaza nyinyi, yaani mnajifariji tu .
LissuHivi lisu na magu nani ni kichaa?magu yeye alishasema yeye ni kichaa tena hadharani
Hata sisi tunataka pachimbike ili tuheshimiane .Patachimbika , yako mengi ningekunong'oneza lakini jf ina sheria zake
Mbona tumeengua madiwani wenu karibu 500 Lakini hamjafanya chochote??Patachimbika , yako mengi ningekunong'oneza lakini jf ina sheria zake
Tunashinda uchaguzi na tutatangazwa chini ya shinikizo , na tutarudia chaguzi kila palipofanyika figisuMbona tumeengua madiwani wenu karibu 500 Lakini hamjafanya chochote??
Time ya uchaguzi hebu tuondoleeni huyo mpuuzi naona dharau zimezudi.