Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Kura zikihesabiwa kwa haki na sheria ccm hawezi shinda bali analindwa na katiba ya nchi ambayo hairuhusu mtu nje ya ccm kuingia ikulu hata kama magu atapata kura moja tu inatosha kutangaza hata mpinzani apate kura mil 70 bado atakuwa ameshindwa mpaka katiba yetu ibadilishwe upinzani utaingia ikulu.

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Ktk kukabiliana na ugumu wa maisha vyuoni mgombea URAIS mh Tundu Lissu ametoa ahadi ya kuwasaidia wahitiu wote wa kidato cha sita mwaka huu kupata mikopo pasipo kuangalia kidato cha nne wamehitimu shule za serikali ama binafsi. Kwa sasa waliohitimu kidato cha nne sekta binafsi hawana sifa ya kupokea mkopo. Anaomba kura yako ili haki itendeke.
 
Dalili za ule mwisho wa ulimwengu!
 
Sisi ni zao la Elimu yetu!

Usishangae. Tumefundishwa KUKUBALI kila asemacho kiongozi, na kupinga kila kile asemacho kiongozi hata kama kinamantiki na faida kwa taifa!

Sisi ni zao halisi ya mfumo unaoendeshwa ilimradi tu utupe fursa ya kuchaguliwa na kuongoza miaka dahali!

Ndio. Sisi ni zao la Elimu hiyo.
 
Umesahaua kwamba alikuwa nje ya nchi kwa matibabu ya muda mrefu?,...mna roho mbaya sana nyie watu
HUNAHISTORIA NA HUYO MZEE WA KIKI WENU, HUKO ULAYA AMEENDA AWAMU YA PILI, TOKA YUKO AWAMU YAKE YA KWANZA MPAKA PALE ALIPOSHAMBULIWA, ALIKUA HAISHI KULE KWAO.
 
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.

Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.

Ameamua kuendelea kukera7
Una uhakikia kuwa hizo ni kero kwa wengi?Ujue anaongea na wengi (mass)haongei nawe binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…