Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

Kama unachambua siasa na hujui nani atashinda uchaguzi huu basi unachambua kwa mahaba sana.
Inakuaje unashindwa kujua kwamba Magufuli ananafasi kubwa ya kushinda mwaka huu.
Kila ninaeongea nae nikimwambia tuweke dau juu ya nani atashinda anakataa.
Nilieweka nae dau mwaka 2015 akiamini EL atashinda nikala hela mwaka huu kakataa kuweka dau.
Tutarudi hapa baada ya October 28 kusikiliza malalamiko ya wanasiasa.
Wanasiasa wanashida Sana sie tunaoangalia Siasa Kama gemu tu tunaraha Sana.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Kura zikihesabiwa kwa haki na sheria ccm hawezi shinda bali analindwa na katiba ya nchi ambayo hairuhusu mtu nje ya ccm kuingia ikulu hata kama magu atapata kura moja tu inatosha kutangaza hata mpinzani apate kura mil 70 bado atakuwa ameshindwa mpaka katiba yetu ibadilishwe upinzani utaingia ikulu.

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Ktk kukabiliana na ugumu wa maisha vyuoni mgombea URAIS mh Tundu Lissu ametoa ahadi ya kuwasaidia wahitiu wote wa kidato cha sita mwaka huu kupata mikopo pasipo kuangalia kidato cha nne wamehitimu shule za serikali ama binafsi. Kwa sasa waliohitimu kidato cha nne sekta binafsi hawana sifa ya kupokea mkopo. Anaomba kura yako ili haki itendeke.
 
Ktk kukabiliana na ugumu wa maisha vyuoni mgombea URAIS mh Tundu Lisdu ametoa ahadi ya kuwasaidia wahitiu wote wa kidato cha sita mwaka huu kupata mikopo pasipo kuangalia kidato cha nne wamehitimu shule za serikali ama binafsi. Kwa sasa waliohitimu kidato cha nne sekta binafsi hawana sifa ya kupokea mkopo. Anaomba kura yako ili haki itendeke
Dalili za ule mwisho wa ulimwengu!
 
Hello GT,

Kuna wakati napata taabu Sana kuona jinsi vijana wetu wanakosa hoja, za kupinga, kukosoa au kujibu na kufanya majadiliano yenye Tija.

Mfano: Lissu katoa hoja ya bima ya afya bure kwa taifa Zima Kuna vijana wanasupport na Kuna wanaopinga lakini wengi wanaopinga wanaishia kusema Lissu hawi Rais. Hoja sio kuwa au kutokuwa, hoja he sera hiyo inatekelezeka? Vijana wanashindwa kuhoja

Mfano wa pili: Magufuli amesema ataongeza Ndege na hata kujenga Reli Hadi Mwanza. Vijana hawapingi kwa hoja Bali maneno maneno yasiyo na facts and figures. Tujifunze kujenga hoja na tufikie conclussion
Sisi ni zao la Elimu yetu!

Usishangae. Tumefundishwa KUKUBALI kila asemacho kiongozi, na kupinga kila kile asemacho kiongozi hata kama kinamantiki na faida kwa taifa!

Sisi ni zao halisi ya mfumo unaoendeshwa ilimradi tu utupe fursa ya kuchaguliwa na kuongoza miaka dahali!

Ndio. Sisi ni zao la Elimu hiyo.
 
Umesahaua kwamba alikuwa nje ya nchi kwa matibabu ya muda mrefu?,...mna roho mbaya sana nyie watu
HUNAHISTORIA NA HUYO MZEE WA KIKI WENU, HUKO ULAYA AMEENDA AWAMU YA PILI, TOKA YUKO AWAMU YAKE YA KWANZA MPAKA PALE ALIPOSHAMBULIWA, ALIKUA HAISHI KULE KWAO.
 
Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.

Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.

Ameamua kuendelea kukera7
Una uhakikia kuwa hizo ni kero kwa wengi?Ujue anaongea na wengi (mass)haongei nawe binafsi.
 
Back
Top Bottom