Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Lissu ni mshereheshaji. Muoaji ni JPM!Hata huyu aliyepo sasa anakwambia alikuwa anabeep tu ............ wakampigia. Never say never .....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni mshereheshaji. Muoaji ni JPM!Hata huyu aliyepo sasa anakwambia alikuwa anabeep tu ............ wakampigia. Never say never .....!!
2020 ni TAL tuLeo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.
Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.
Ameamua kuendelea kukera7
Wakileta misaada wa naitwa wafadhiri (wahisani) wakiwa upande huo wakiwa upande ule ni mabeberu haohaoLissu ni kibalaka wa mabebelu. Awezi kuwa lais ata iweje.
Mkuu katiba yetu hairuhusu mtu nje ya ccm kutawala ilifungwa vibaya ndio yatakayo tokea wakati wa kutangaza matokeo lazima asomwe wa ccmUmeamua na nani.Naona umeamua peke yako
Kura zikihesabiwa kwa haki na sheria ccm hawezi shinda bali analindwa na katiba ya nchi ambayo hairuhusu mtu nje ya ccm kuingia ikulu hata kama magu atapata kura moja tu inatosha kutangaza hata mpinzani apate kura mil 70 bado atakuwa ameshindwa mpaka katiba yetu ibadilishwe upinzani utaingia ikulu.Kama unachambua siasa na hujui nani atashinda uchaguzi huu basi unachambua kwa mahaba sana.
Inakuaje unashindwa kujua kwamba Magufuli ananafasi kubwa ya kushinda mwaka huu.
Kila ninaeongea nae nikimwambia tuweke dau juu ya nani atashinda anakataa.
Nilieweka nae dau mwaka 2015 akiamini EL atashinda nikala hela mwaka huu kakataa kuweka dau.
Tutarudi hapa baada ya October 28 kusikiliza malalamiko ya wanasiasa.
Wanasiasa wanashida Sana sie tunaoangalia Siasa Kama gemu tu tunaraha Sana.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Dalili za ule mwisho wa ulimwengu!Ktk kukabiliana na ugumu wa maisha vyuoni mgombea URAIS mh Tundu Lisdu ametoa ahadi ya kuwasaidia wahitiu wote wa kidato cha sita mwaka huu kupata mikopo pasipo kuangalia kidato cha nne wamehitimu shule za serikali ama binafsi. Kwa sasa waliohitimu kidato cha nne sekta binafsi hawana sifa ya kupokea mkopo. Anaomba kura yako ili haki itendeke
Sisi ni zao la Elimu yetu!Hello GT,
Kuna wakati napata taabu Sana kuona jinsi vijana wetu wanakosa hoja, za kupinga, kukosoa au kujibu na kufanya majadiliano yenye Tija.
Mfano: Lissu katoa hoja ya bima ya afya bure kwa taifa Zima Kuna vijana wanasupport na Kuna wanaopinga lakini wengi wanaopinga wanaishia kusema Lissu hawi Rais. Hoja sio kuwa au kutokuwa, hoja he sera hiyo inatekelezeka? Vijana wanashindwa kuhoja
Mfano wa pili: Magufuli amesema ataongeza Ndege na hata kujenga Reli Hadi Mwanza. Vijana hawapingi kwa hoja Bali maneno maneno yasiyo na facts and figures. Tujifunze kujenga hoja na tufikie conclussion
Ndiyo maana alizuia mikutano ilifanye pekee yake hataki challenge.Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.
Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.
Ameamua kuendelea kukera7
Umesahaua kwamba alikuwa nje ya nchi kwa matibabu ya muda mrefu?,...mna roho mbaya sana nyie watuILA YEYE KUPATA UBUNGE NA KUWATEREKEZA WANASINGIDA NA KULA BATA KULE ARUSHA MJINII, HUU NI USHUJAA
Librarybwana yule kajenga wapi???
trafiki light
Bank
bandari
bugiri National Park
airport
Mahakama ya Wilaya ya hatari
Jengo la Tanesco
Stadium
niendeleeeee..........................
HUNAHISTORIA NA HUYO MZEE WA KIKI WENU, HUKO ULAYA AMEENDA AWAMU YA PILI, TOKA YUKO AWAMU YAKE YA KWANZA MPAKA PALE ALIPOSHAMBULIWA, ALIKUA HAISHI KULE KWAO.Umesahaua kwamba alikuwa nje ya nchi kwa matibabu ya muda mrefu?,...mna roho mbaya sana nyie watu
Una uhakikia kuwa hizo ni kero kwa wengi?Ujue anaongea na wengi (mass)haongei nawe binafsi.Leo kakera tena akiwa Mufindi.
Anasema
Rais anayeanza kwa kujenga jenga nyumbani kwake basi huyo anajiandaa kuwa Rais wa maisha.
Amewatajia mfano Malawi na Ivory coast.
Ameamua kuendelea kukera7