Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Leo Mchungaji Msigwa akishirikiana na viongozi wa Kanda ya Nyasa anazindua safari yake ndefu ya kampeni kwenye eneo lake la kujidai la Mwembetogwa .

Ikumbukwe kwamba Msigwa ndiye aliyeivunjilia mbali ccm Iringa na kuhitimisha utumwa wa wananchi baada ya kuwakataza kupokea rushwa ya Ulanzi (pombe ya kienyeji) iliyotumika na ccm kwa miaka mingi kupotosha na kuwapumbaza wananchi .

Stendi mpya ya Ighumbilo ni moja ya jambo ambalo Mh Msigwa na Halmashauri iliyokuwa chini ya Mstahiki Kimbe wamelifanya Iringa na kutengeneza fursa chungu mzima.




========
UPDATES
Hali ya Mwembetogwa ndio hii mnayoiona


 

Attachments

  • Muda huu Iringa katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CHADEM ( 352 X 640 ).mp4
    1.6 MB
Marekebisho ya neno @Rias yafanyike heading isomeke Rais
 
Mbona hamjatupa updates za kata zote za mkoa wa morogoro? Mnafurahia kupita tu kwenye lami, nendeni na vijijini michango yao ni mazao ya kazi zao, miwa, mahindi na mpunga! Chukueni hivyo kisha mkauze mpate keshi za kuwafikia zaidi vijijini!
 
Kwa Lukuvi hapati kitu anaenda tu kutalii

Penye ukweli usemwe, Lukuvi ameimudu wizara. Tumepata hati kwa bei elekezi na haraka mno. Ametatua migogoro mingi ya ardhi. Binafsi, naweza kusema amejitahidi kuasi chake.
 
kamaliza Morogoro sasa yupo Iringa

yule mwengine yupo Kalala kwa pressure

Na tbc yake ipo pamoja naye huko aliko lala. Mitambo imewekwa chumbani mithili ya kopo la chooni linalomsubiri mwenye haja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…