Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Iringa

Hahahahaha wape mambo hao hawajielewi
 
Wewe hukuwa Moro mkuu?
 
Nisamehe Sana Mkuu Wala sikua na Nia mbaya......nilitaka tu nijue Pumzi yake ya masaa 32 mfululizo kupost MAZURI ya mh.Lissu aliipata kupitia vitu vp?😁😁

Nimemuombea awe Balozi Wetu Ikiwa Mwamba ataingia ikulu😂😂
Mh, ngoja aje! Kwanini ubalozi and not any other post in case?
 
Hizi picha mbona watu walewale ile mbeya iringa tabora, hii camera ya cdm kiboko
 
baada ya Lissu jana kuwavuruga ccm hapa ifakara jimbo la kilombero, leo maccm yamemleta Ndugai spika wa bunge. Yupo na mkwe wake Lijualikali wanaharibu kumnadi Abubakar Asenga.
Wanakazi ngumu kwa kweli. Sioni amsha amsha yoyote zaidi ya gari ya matangazo inayopita na kuwaomba raia wakamsikilize ndugai.

Ccm kwa hapa kilombero hususani hapa mjini wana hali mbaya sana.
 
Ila watu ni wajinga sana. Picha ni sehemu ya kuhabarisha na haipaswi kuwa obsession ya idiots.
Cha muhimu ni substance kwenye maneno ya mgombea.
 
Chadema sera yake ni kupiga vita miundombinu na kuwaahidi kuwanunulia watu vyombo vya jikoni...
 

Attachments

  • Muda huu Iringa katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CHADEM ( 352 X 640 ).mp4
    1.6 MB
Msigwa yupo Bungeni tangu 2010, Vilaza wa CCM muwe mnaweka rekodi zenu vizuri maana mwaka huu wameletwa vilaza ambao hamjui Historia za Bunge.
msigwa alipata ubunge kwa mgawanyiko wa ccm uliotokana na lowassa
Mwaka huu hata yeye Msigwa anajua kuwa hapiti
 
msigwa alipata ubunge kwa mgawanyiko wa ccm uliotokana na lowassa
Mwaka huu hata yeye Msigwa anajua kuwa hapiti
ndio maana Bashiru anawambia uvccm imejaa vilaza
 

Attachments

  • 2518122_Muda_huu_Iringa_katika_mkutano_wa_kampeni_wa_mgombea_urais_wa_JMT_kupitia_CHADEM__352_...mp4
    1.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…