Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

Huyu mwamba hapo kigoma tu bado hajafika
 
Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Una hakika wewe ndio hujisumbui Mkuu? Elfu saba isikutoe ufahamu jamaa.
Nani yuko tayari ile Serikali ya WATEKA NYARA, inayofuga MAGENGE YA WASIOJULIKANA, kulipisha Wafanyabiashara kodi zaidi ya mara mbili ya gharama za manunuzi na ujinga mwingine mwingi iendelee tena kutufanyia UHUNI NA UHALIFU?
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 2
Mungu awabariki na kuwatangulia kila mnapokanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…