Ibilisi ndio anashindaHana uwezo wa kushinda toka lini yuda iskariote akafanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibilisi ndio anashindaHana uwezo wa kushinda toka lini yuda iskariote akafanikiwa
Huyu mwamba hapo kigoma tu bado hajafikaWakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika.
View attachment 1574046
=========
UPDATES 1
Akiwa njiani kuelekea Kigoma Azuiliwa na umati wa wanakijiji cha Lugufu , kata ya Mishamo Mpanda vijijini waliotaka awasalimie na kuwapa neno
View attachment 1574046View attachment 1574268
View attachment 1574269
Mungu wa Mbinguni yupo pamoja naye. Minyororo ya shetani na malaika zake imeshindwaMungu amlinde na amtangulie kila sehemu mja wake Tundu Antiphas Lissu!!
Mwandiga kwa Kina Zitto✌✌✌chadema ilipokulia.
Umeota?
Safari hii umepatikana ushaanza 'kunena' kwa lugha.Labda rahisi wa saccos ya mtaa wa ufipa ila sio raisi wa nchi hii pili mungu Hana time na kina yuda
Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Pole Dada.Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Labda rahisi wa saccos ya mtaa wa ufipa ila sio raisi wa nchi hii pili mungu Hana time na kina yuda
uko nchi hii kweli ?Acha kujishauwa na gubu lako umetekwa na nani wewe
Acha kujishauwa na gubu lako umetekwa na nani wewe
Una hakika wewe ndio hujisumbui Mkuu? Elfu saba isikutoe ufahamu jamaa.Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Mungu awabariki na kuwatangulia kila mnapokanyagaWakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika.
View attachment 1574046
=========
UPDATES 1
Akiwa njiani kuelekea Kigoma Azuiliwa na umati wa wanakijiji cha Lugufu , kata ya Mishamo Mpanda vijijini waliotaka awasalimie na kuwapa neno
View attachment 1574046View attachment 1574268
View attachment 1574269
UPDATES 2
Mwandiga - Kigoma
View attachment 1574343View attachment 1574344
Video :Mapicha picha ya mvaa kanzu na baraghashia uchwara mbona leo yanafichwa?