Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!

We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
Sijaiona huo uzi unaweza ku upin tafadhali
 
Leo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Page zako unazofuatilia za jumalokole na wengine utegemee kuona vitu vya msingi
 
Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!

We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
Ccm nahusika nao vipi???
 
19 September 2020
Kigoma ,Tanzania

Tundu Lissu 2020 : Kigoma yenu ni ngome ya upinzani toka 1995 , hongereni sana

Sisi CHADEMA na mie Tundu Lissu tunakuja kwa unyenyekevu kutokana na Kigoma kuwa mstari wa mbele kuongoza mageuzi.

Kwa hivyo katika uchaguzi huu wa kihistoria tunawaomba muendelee kutuongoza katika kuingoa CCM 2020.
c.c Erthrocyte

Hizi kauli zinawafanya Lumumba kupoteana wanatafuta mpira kwa tochi🤣🤣🤣
 
Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Mwaka huu mkuu Sisi CCM mpaka tujambe cheche jamaa kinatupeleka kama tuko kwenye gari bovu! Tulitaka kuliharibia mkutano pale Kigoma lakini limetufunika! Tuwe wakweli CCM pumuzi yetu inakata!
 
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania

Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.

Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo

Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?

Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
 
Asante kwa kumfuatilia rais mtarajiwa.
 
Hizo ni mbinu za kisiasa. Anawachanganya kijani ili wawekeze nguvu zote hapo wakati yeye atawekeza nchi nzima.
 
Mbeya nawaona Kama sio Watanzania ,wnahitaji sana mabadiliko
 
Mapokezi Airport Kuna mtu akisema kuwa wengi walitoka kigoma pale waliompokea pale airport

Anaposema ngome Ni ngome ya kijeshi ya Upinzani au? Lisu asije kuwa karopoka Siri Yao.Kuwa wao ndio wanaangaliwa
 
Back
Top Bottom