Tangu lini wewe ukawa Fan wa TALLeo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini wewe ukawa Fan wa TALLeo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Sijaiona huo uzi unaweza ku upin tafadhaliKweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!
We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
Sijaziona mkuu unaweza kuscreenshot na kuweka hapa?Kuna thread hapa Jf
Ukienda fb page ITv na Millard wanapost
Taarifa ya habari za ITV na azam utv zilionekana kiufupi ni halaiki
Page zako unazofuatilia za jumalokole na wengine utegemee kuona vitu vya msingiLeo sijaona kabisa picha za mheshimiwa Tundu Lissu popote za mikutano yake, sio twitter wala facebook , wala Instagram, mwenye nazo atupie tafadhali.
Post yangu haijaongelea mi ni fan wa TAL au wa mtu mwingine, nimeomba picha za mikutano tu kwasababu sijazionaTangu lini wewe ukawa Fan wa TAL
Ccm nahusika nao vipi???Kweli CCM mmechanganyikiwa. Hapa tu jf kuna uzi wa picha hadi video’s za kigoma na katavi kwenye uzi husika!!!
We shughulika na mambo ya CCM mnavyoshikana uchawi huko kwenu. Naskia mmetimua mwenyekiti kagera leo??
19 September 2020
Kigoma ,Tanzania
Tundu Lissu 2020 : Kigoma yenu ni ngome ya upinzani toka 1995 , hongereni sana
Sisi CHADEMA na mie Tundu Lissu tunakuja kwa unyenyekevu kutokana na Kigoma kuwa mstari wa mbele kuongoza mageuzi.
Kwa hivyo katika uchaguzi huu wa kihistoria tunawaomba muendelee kutuongoza katika kuingoa CCM 2020.
c.c Erthrocyte
Kwani na jana Kigoma amezomewa? Si alizomewa Bukoba?Vuta subira , hakuna kitakachofichwa
Mwaka huu mkuu Sisi CCM mpaka tujambe cheche jamaa kinatupeleka kama tuko kwenye gari bovu! Tulitaka kuliharibia mkutano pale Kigoma lakini limetufunika! Tuwe wakweli CCM pumuzi yetu inakata!Anajisumbua tu hawezi kuwa raisi,hakuna mtu atakae mchagua,hata mwenyewe yuda iskariote anajua hawezi kuwa raisi
Asante kwa kumfuatilia rais mtarajiwa.Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania
Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.
Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania
Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.
Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Arumeru chini ya nccr mageuzi kisangaKigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni. Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.
Jimbo la Iringa mjini alikua bwana Mfwalamagoha Kibasa kutoka NCCR.Kigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni. Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.