Nilimaanisha kupitia CHADEMAJimbo la Iringa mjini alikua bwana Mfwalamagoha Kibasa kutoka NCCR.
1995 - 2000
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimaanisha kupitia CHADEMAJimbo la Iringa mjini alikua bwana Mfwalamagoha Kibasa kutoka NCCR.
1995 - 2000
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed
Mkuu, kila kauli na neno litokalo kinywani mwa TAL ni mwiba mkali kwa chama chakavu cha majizi. Tunajua mnazifuatilia sana kampeni zake na hoja zake mujarabu kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu.Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania
Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.
Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Vunjo na majimbo karibu mengi tu kilimanjaro na maraKigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni kupitia CHADEMA Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.
Mapokezi Airport Kuna mtu akisema kuwa wengi walitoka kigoma pale waliompokea pale airport
Anaposema ngome Ni ngome ya kijeshi ya Upinzani au? Lisu asije kuwa karopoka Siri Yao.Kuwa wao ndio wanaangaliwa
Uko sahihi lkn kumbuka vyama vingi vilianza around 1992 au 1993hv lkn Kuna ka uchaguzi mdogo hv ulitokeaga kigoma mjini nahisi 1994 huo uchaguz ulikua Moto Sana ndo ulikua wa kwanza baada vyama vingi kuanza cdm walimsimamisha jamaa mmoja hv machachari Sana sijui alikuwa anaitwa Dr ka----- nan sijui nimesahau kidogo huo uchaguz ulikua mgumu kila pande nahisi ulirudiwa mara mbili na mara zote wapinzan walishinda na kuanzia hapo upinzani ukaenea kote sasaJimbo la Iringa mjini alikua bwana Mfwalamagoha Kibasa kutoka NCCR.
1995 - 2000
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Sio suala la ushabiki, jiangalie mwenyewe, kama mkulu yuko fresh mpigie, ila kama amekudhuru na mbele hauoni mwanga chukua hatua, wanasema mauno ya diamond, zuchu,harmoniz zitakusaidaje kupata pensheni, malipo bora ya mazao yako, kutotaifishiwa mazao, kuongeza mshahara, kuwa huru na salama?Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed
Anawakeraa daahh !!. Ulitaka aongee nini huku akiongea na wana Kigoma ?!. Ni ukweli usiopingwa kuwa mbunge wa kwanza wa upinzani alitokea Kigoma W. A. Kaburu (Cdm) ingawa baadaye aliunga juhudi mkono . Sasa unakataaJe kuwa Kigoma ni chimbuko la upinzani nchini ?!.Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania
Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.
Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania
Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.
Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Kwenye uchaguzi huu Kigoma tunawaomba mtuongoze kuwaondoa ccm madarakani, hivyo basi chagueni Diwani au Mbunge anayeweza kuiondoa ccm. Kwangu mimi adui namba moja ni ccm basi tuchague mgombea atakayeishinda ccm.
Karatu na Moshi mjini ni majimbo yanayoongozwa na chadema tangu 1995Kigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni kupitia CHADEMA Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.
wakati wa SLAA na Lowasa huo wakiwa CHADEMA walishaondoka subiri moto wake mwaka huuKaratu na Moshi mjini ni majimbo yanayoongozwa na chadema tangu 1995
Yaani wamevurugwa haswa sijui wanafikiri matusi yatawasaidia.Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed
Wanafikiri Lisu akishinda vyote vitakua bwerere.Ko unaamin Lissu ndo atafanya hayo[emoji3][emoji3][emoji3] mbona mnakuwa manipulated kiboya Sana wazee,
Chadema ilimsimamisha Dr Waldi Kabour akitokea marekaniUko sahihi lkn kumbuka vyama vingi vilianza around 1992 au 1993hv lkn Kuna ka uchaguzi mdogo hv ulitokeaga kigoma mjini nahisi 1994 huo uchaguz ulikua Moto Sana ndo ulikua wa kwanza baada vyama vingi kuanza cdm walimsimamisha jamaa mmoja hv machachari Sana sijui alikuwa anaitwa Dr ka----- nan sijui nimesahau kidogo huo uchaguz ulikua mgumu kila pande nahisi ulirudiwa mara mbili na mara zote wapinzan walishinda na kuanzia hapo upinzani ukaenea kote sasa
Pole kwa mawe ya utosiCHADEMA angalieni mtu wenu Lisu anachosema hapo kigoma badala ya kunadi wagombea wa CHADEMA wa ubunge na udiwani angalieni anachonadi anasema wamchague mbunge au diwani yeyote atakayeishinda CCM!! Ina maana wachague yeyote awe ACT WAZALENDO,CUF CHAUMA au yeyote je hiki nyie CHADEMA ndicho mlichomtuma mgombea uraisi wenu Tundu Lisu akinadi? Hamkumtuma aende kunadi wagombea wa CHADEMA? Zanzibar aliacha mgombea Uraisi wa CHADEMA zanzibar akaanza kumnadi Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!!!
Kafika Kigoma anataka Kigoma wamchague yeyote yule hanadi wagombea wa CHADEMA!!!!
Mbowe sitisha kugharimia hizo kampeni zake unapoteza pesa bure ila kama anajigharimia haina shida wacha aendelee kuteketeza pesa zake
Mbowe huna mgombea uraisi huna
Alichofanyiwa na wana darisalama,hatokuja kukisahau maishani mwakeIkumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Umeandika kikada zaidi badala ya ukweliTundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania