Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed

Mkuu kwa faida ya storage space ya jf, hebu futa duplicate post moja.
 
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania

Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.

Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo

Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?

Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Mkuu, kila kauli na neno litokalo kinywani mwa TAL ni mwiba mkali kwa chama chakavu cha majizi. Tunajua mnazifuatilia sana kampeni zake na hoja zake mujarabu kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu.

Tunatambua TAL anawakuna sana kwa hoja zake zenye mantiki na hata kuweza kumfunika kabisa mgombea wenu, ambaye anatafuta "attention" ya watu kupitia "show" za wasanii badala ya kuinadi ilani ya chake iliyobeba ahadi zisizotekelezeka. There is honour to be part of winning team, there is no honour to cling with a gangsters.

Naona sasa amekuja na mikakati wa kuonana na viongozi wa nchi jirani na kuzidi kufanya makubaliano nao juu ya mikataba ya kitaifa ijapokuwa hata hana uhakika wa kurudi ktk nafasi hii anayomalizia kuitumikia.
 
Tatizo sio TL tatizo ni bwana huyu ndio katuchosa na uongozi wake..usiojali furaha na mafanikio ha mtanzania.
 
Kigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni kupitia CHADEMA Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.
Vunjo na majimbo karibu mengi tu kilimanjaro na mara
 
Dah! jamaa sijui coka inamchanganya. Maana haeleweki huku aseme hivi kule vile. Uzoefu wa campaign 0, hasira nyingi, mitusi domo chafu kama kumbuka. Term hii harambi kitu. Ila kuna vijihoja kidogo tunapaswa vifanyia kazi. Kama bima ya afya tu vingine pumba tupu. Kama sera ya majimbo hajui dar ina contribute more than 80% ya uchumi sa mengine yatajiendeshaje.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Mapokezi Airport Kuna mtu akisema kuwa wengi walitoka kigoma pale waliompokea pale airport

Anaposema ngome Ni ngome ya kijeshi ya Upinzani au? Lisu asije kuwa karopoka Siri Yao.Kuwa wao ndio wanaangaliwa

Mkuu nikupongeze kwa kufanya kazi nzuri ya kucover habari za cdm, hasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa upande wa ccm. Hapa sijali aprroach yako kama ni positive au negative, lakini unajitahidi sana kutoa habari za cdm. Kama ni ukosoaji au upotoshaji ni juu ya cdm kujibu au kuweka sawa upotoshaji huo, cha muhimu ni kuwa habari za cdm zinaendelea kurundima hapa jukwaani. Kwa hili nakupongeza sana.
 
Jimbo la Iringa mjini alikua bwana Mfwalamagoha Kibasa kutoka NCCR.
1995 - 2000

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi lkn kumbuka vyama vingi vilianza around 1992 au 1993hv lkn Kuna ka uchaguzi mdogo hv ulitokeaga kigoma mjini nahisi 1994 huo uchaguz ulikua Moto Sana ndo ulikua wa kwanza baada vyama vingi kuanza cdm walimsimamisha jamaa mmoja hv machachari Sana sijui alikuwa anaitwa Dr ka----- nan sijui nimesahau kidogo huo uchaguz ulikua mgumu kila pande nahisi ulirudiwa mara mbili na mara zote wapinzan walishinda na kuanzia hapo upinzani ukaenea kote sasa
 
Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed
Sio suala la ushabiki, jiangalie mwenyewe, kama mkulu yuko fresh mpigie, ila kama amekudhuru na mbele hauoni mwanga chukua hatua, wanasema mauno ya diamond, zuchu,harmoniz zitakusaidaje kupata pensheni, malipo bora ya mazao yako, kutotaifishiwa mazao, kuongeza mshahara, kuwa huru na salama?
 
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania

Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.

Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo

Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?

Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Anawakeraa daahh !!. Ulitaka aongee nini huku akiongea na wana Kigoma ?!. Ni ukweli usiopingwa kuwa mbunge wa kwanza wa upinzani alitokea Kigoma W. A. Kaburu (Cdm) ingawa baadaye aliunga juhudi mkono . Sasa unakataaJe kuwa Kigoma ni chimbuko la upinzani nchini ?!.
 
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania

Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.

Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo

Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?

Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?

Labda rejea bandiko lako tufanye fanye editing. Halieleweki mkuu.

Si grammar, syntax wala logic.
 
Kwenye uchaguzi huu Kigoma tunawaomba mtuongoze kuwaondoa ccm madarakani, hivyo basi chagueni Diwani au Mbunge anayeweza kuiondoa ccm. Kwangu mimi adui namba moja ni ccm basi tuchague mgombea atakayeishinda ccm.

CHADEMA angalieni mtu wenu Lisu anachosema hapo kigoma badala ya kunadi wagombea wa CHADEMA wa ubunge na udiwani angalieni anachonadi anasema wamchague mbunge au diwani yeyote atakayeishinda CCM!! Ina maana wachague yeyote awe ACT WAZALENDO,CUF CHAUMA au yeyote je hiki nyie CHADEMA ndicho mlichomtuma mgombea uraisi wenu Tundu Lisu akinadi? Hamkumtuma aende kunadi wagombea wa CHADEMA? Zanzibar aliacha mgombea Uraisi wa CHADEMA zanzibar akaanza kumnadi Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!!!

Kafika Kigoma anataka Kigoma wamchague yeyote yule hanadi wagombea wa CHADEMA!!!!

Mbowe sitisha kugharimia hizo kampeni zake unapoteza pesa bure ila kama anajigharimia haina shida wacha aendelee kuteketeza pesa zake

Mbowe huna mgombea uraisi huna
 
Kigoma kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 ilikuwa na Mbunge wa upinzani Bungeni kupitia CHADEMA Nitajie Jimbo lingine lililopeleka Mbunge wa upinzani Bungeni kwa mwaka huo.
Karatu na Moshi mjini ni majimbo yanayoongozwa na chadema tangu 1995
 
Mashabiki wa TL Wana hasira Sana , ukiongea naye dk mbili anaanza matusi , hapo hapo unajua kabisa kweli huyu ni shabiki wa Tundu (shimo)...empty headed
Yaani wamevurugwa haswa sijui wanafikiri matusi yatawasaidia.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi lkn kumbuka vyama vingi vilianza around 1992 au 1993hv lkn Kuna ka uchaguzi mdogo hv ulitokeaga kigoma mjini nahisi 1994 huo uchaguz ulikua Moto Sana ndo ulikua wa kwanza baada vyama vingi kuanza cdm walimsimamisha jamaa mmoja hv machachari Sana sijui alikuwa anaitwa Dr ka----- nan sijui nimesahau kidogo huo uchaguz ulikua mgumu kila pande nahisi ulirudiwa mara mbili na mara zote wapinzan walishinda na kuanzia hapo upinzani ukaenea kote sasa
Chadema ilimsimamisha Dr Waldi Kabour akitokea marekani
 
CHADEMA angalieni mtu wenu Lisu anachosema hapo kigoma badala ya kunadi wagombea wa CHADEMA wa ubunge na udiwani angalieni anachonadi anasema wamchague mbunge au diwani yeyote atakayeishinda CCM!! Ina maana wachague yeyote awe ACT WAZALENDO,CUF CHAUMA au yeyote je hiki nyie CHADEMA ndicho mlichomtuma mgombea uraisi wenu Tundu Lisu akinadi? Hamkumtuma aende kunadi wagombea wa CHADEMA? Zanzibar aliacha mgombea Uraisi wa CHADEMA zanzibar akaanza kumnadi Maalim Seif kuwa ndie achaguliwe!!!!

Kafika Kigoma anataka Kigoma wamchague yeyote yule hanadi wagombea wa CHADEMA!!!!

Mbowe sitisha kugharimia hizo kampeni zake unapoteza pesa bure ila kama anajigharimia haina shida wacha aendelee kuteketeza pesa zake

Mbowe huna mgombea uraisi huna
Pole kwa mawe ya utosi
 
Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?
Alichofanyiwa na wana darisalama,hatokuja kukisahau maishani mwake
 
Tundu Lisu akakata tamaa asema kigoma ndio ngome ya Upinzani Tanzania

Na asema Mikoa yote inaiangalia kigoma Mikoa mingine iinainagalia kigoma kwenye kura za mwaka huu.

Lisu kazunguka Mikoa Mingi alichokiona kimemkatisha tamaa kuwa kote huko ushindi wa upinzani anaona mdogo

Ikumbukwe kuwa yeye na Chadema walisema Dar es salaam ndio ngome kuu ya Chadema ikifuatiwa na kikimanjaro Sasa Lisu anasema ngome kuu ya Upinzani Ni kigoma!!!! Sio Dar Wala Kilimanjaro Tena?

Chadema this very interesting.Mgombea wenu vipi?
Umeandika kikada zaidi badala ya ukweli
 
Back
Top Bottom