Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Simiyu

Ni aibu kubwa sana kwa kijana kuwa na akili za kichawi
Ni fedhea sana kwa Mzee kama wewe kutuhumu vijana wana akili za kichawi

October 28th nasisitiza kura za ndio kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ni fedhea sana kwa Mzee kama wewe kutuhumu vijana wana akili za kichawi

October 28th nasisitiza kura za ndio kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ni kufuru kwa Mungu aliekupa akili halafu ukazitumia kufanya upumbavu kwa kushirikiana na watu wanaolitukana jina la Mungu
 
Ni kufuru kwa Mungu aliekupa akili halafu ukazitumia kufanya upumbavu kwa kushirikiana na watu wanaolitukana jina la Mungu
Sikuwahi kufahamu kuwa kufuru ni kupishana mawazo na mitizamo ya kiitikadi.

Kwa pamoja twendeni tukampigie kura JPM kura za kishindo October 28th.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
CCM kwa maendeleo ya kuzimu
Kwakuwa unaishi kuzimu basi haina shida..ila kaa ukijua October 28th tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom