Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Wewe,yeye, Mimi na yule kwa pamoja twendeni tukampe kura za kishindo JPM October 28th.Mko wangapi ?
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe,yeye, Mimi na yule kwa pamoja twendeni tukampe kura za kishindo JPM October 28th.Mko wangapi ?
Ni aibu kubwa sana kwa kijana kuwa na akili za kichawiWewe,yeye, Mimi na yule kwa pamoja twendeni tukampe kura za kishindo JPM October 28th.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ni fedhea sana kwa Mzee kama wewe kutuhumu vijana wana akili za kichawiNi aibu kubwa sana kwa kijana kuwa na akili za kichawi
Spika ajae akitokea wapi?? wakati mzee wa watu mmemtosa!!Hajatoswa, ndiye Spika ajaye!
Acha akufe!! ameua wengi!Nyoe watu tafadharini. Mtamuua mtu kwa pressure.....!!
Ni kufuru kwa Mungu aliekupa akili halafu ukazitumia kufanya upumbavu kwa kushirikiana na watu wanaolitukana jina la MunguNi fedhea sana kwa Mzee kama wewe kutuhumu vijana wana akili za kichawi
October 28th nasisitiza kura za ndio kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Asante!! naona umeanza kuelewa!!Laaa. . . . . lakini na hii kanda ina watu, sio rahisi kwetu Upareni upate mkusanyiko kama huu.
Ametoswa wapi?Spika ajae akitokea wapi?? wakati mzee wa watu mmemtosa!!
Sikuwahi kufahamu kuwa kufuru ni kupishana mawazo na mitizamo ya kiitikadi.Ni kufuru kwa Mungu aliekupa akili halafu ukazitumia kufanya upumbavu kwa kushirikiana na watu wanaolitukana jina la Mungu
Aahahahaaa gari ya mkaa iko wapi?Hujui umati weweView attachment 1600864
CCM kwa maendeleo ya kuzimuSikuwahi kufahamu kuwa kufuru ni kupishana mawazo na mitizamo ya kiitikadi.
Kwa pamoja twendeni tukampigie kura JPM kura za kishindo October 28th.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wanyantuzu Wametisha, siyo kwa mapenzi hayo!!
Magufuli ameuwa ccm kifo cha kikatiri sana !Wanyantuzu Wametisha, siyo kwa mapenzi hayo!!
Bariadi, Maswa na Meatu hata zilipokuwa sehemu ya Shinyanga ni wilaya zilizojitambua toka zamani.Magufuli ameuwa ccm kifo cha kikatiri sana !
Kwakuwa unaishi kuzimu basi haina shida..ila kaa ukijua October 28th tutamchagua JPM kwa kishindo.CCM kwa maendeleo ya kuzimu
Bhageshi tuko vizuri sana huyu Mwanasheria Kura kama mvuaWanyantuzu Wametisha, siyo kwa mapenzi hayo!!
Huwezi linganisha Kipindi drone zinaruhusiwa kupiga picha na sasa ambapo drone kupiga picha lazima leseniHujui umati weweView attachment 1600864
Afu kuna mjinga mmoja utasikia anakwambia CHADEMA kipo mtandaoni mara cjui hakifahamiki vijijini mara cjui chama cha kaskazini.