Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Kama huipendi CHADEMA kwanini unafuatilia taarifa zake!? Unahangaikaje na kitu usichokipenda, Mimi sipendi kabisa kusoma magazeti ya habari leo, Uhuru, Jmvi la umbea na pia chaneli za Tv kama TBC, Chanel Ten nyingine za mapambio, hivyo huwa sijishughulishi kabisa hata kufungua tua au kutazama kichwa au habari yoyote!

After All, Siku zote na duniani kote mtetezi wa kweli wa wanyonge ni vyama vya upinzani, hivyo mtu yeyote anayejitambua sawasawa hawezi kuvibeza kwa hoja nyepesi kama hizo zako, Nakuonea huruma sana ndugu yangu wewe ndugu zako wanaoisoma namba ya CCM alafu bado ukilipwa buk 7 tu unaanza kuimba mapambio!
 
usidangaye watu CUF ishajifia kitambo
Mwambieni Lisu MSHINDANI WAKE AMBAYE ni saizi yake ni Lipumba tu sio CCM
CCM ni level ingine .Lipumba kuna uwezekano mkubwa wa kushika nafasi ya pili Baada ya Magufuli

CHEKI MAPOKEZI YAKE Mtwara mjini

Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Ila pia wapo wanachama waliokua wanalalamikia kitendo cha kuwasimamisha wabunge waliounga juhudi mkono waendelee kupeperusha bendera ya chama tawala. Je hiyo ni demokrasia?
 
huyo mzee ni tawi la CCM, anatembea na laana ya ubaguzi mgongoni kwake ...kaiua CUF kwa mikono yake!!

kwanza arudishe hela yetu ya walipa kodi .. ile waliyokuwa wanakwapua hazina kupitia msajili wa vyama wanakwenda wanagawaniana kule magombeni...
 
Tunamtakia heri na mafanikio. Tuendelee kuchangia kampeni zake hadi mwisho.
 
Huoni Mataga wenzio walivyo pagawa, pamoja na kuhodhi vyombo vyote vya Habari,na mabango nchi zima,lakini imebidi waje kuomba kura za kwenye Twitter,
CCM kutoka chama Tawala hadi chama cha fiesta na mabango.
Elements of Madilu System.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi 1992.
 
Asante sana wana Tabora mpooooo!!
 
huyo mzee ni tawi la CCM, anatembea na laana ya ubaguzi mgongoni kwake ...kaiua CUF kwa mikono yake!!

kwanza arudishe hela yetu ya walipa kodi .. ile waliyokuwa wanakwapua hazina kupitia msajili wa vyama wanakwenda wanagawaniana kule magombeni...
Huyo mzee asicheze na maisha ya Watanzania Watu tumepinda yeye analeta mzaha
 
Kamanda mwenzangu Lissu anapoteza muda,bora tujenge kwanza chama chetu,hapati hata kura laki 2
Yule kicheche ndiye kakutuma kuja na huu UTP kujaribu karata hii kama inanaweza kuwa na uungwaji mkono wowote?

Kamwambie Hatudanganyiki!
 
huyo mzee ni tawi la CCM, anatembea na laana ya ubaguzi mgongoni kwake ...kaiua CUF kwa mikono yake!!

kwanza arudishe hela yetu ya walipa kodi .. ile waliyokuwa wanakwapua hazina kupitia msajili wa vyama wanakwenda wanagawaniana kule magombeni...
Lipumba anaenda kimya kimya ila moto wake Lisu ataujua tarehe 28 october.Kura Atakazopata zaweza kuwa nyingi kuliko za Lisu .Lisu kelele na fix nyingi mitandaoni ,Lipumba mpango huo hana yeye ni moto chini kwenye kampeni tu
Strategically Lipumba yuko vizuri kuliko LIsu na anaenda sehemu zile tu anajua ana nguvu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…