Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Naona dawa imeanza kuwaingia hahhaaaha
 
Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Ujenzi wa chama ni uimara was chama,unaonaje jinsi kilivyo jizatiti kupigania Uhuru,haki na maendeleo,kwa uwezo wenu mmeshindwa kumkabili,mnatafuta msaada kupitia mbeleko wezeshi.
 
Tukana uwezavyo lkn watanzania hatumtaki huyu kichaa na dikteta uchwara
 
Baada ya ujio wa Lissu Tabora , nyaraka hii yaanza kusambazwa

Wanaopenda CHADEMA ni wasiojielewa, walevi wengi, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuikubali maana haina democrasia wala mipango, kujijenga wenyewe tu hawawezi unategemea wajenge nchi, mabilion ya Ruzuku hawaeleweki yanaenda wapi
Idiot at work
 
Tabora vyama vyenye nguvu viuwili tu CCM na CUF WENGINE TAKATAKA
Tabora upinzani Lipumba atapata kura nyingi kuliko Lisu tena atambwaga hasa.CCM itaongoza ikifuatiwa na CUF
Si kweli mi nipo sikonge tbr saiz cdm inaitesa ccm mpaka wanapoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…