Muda bado...Watu ni wachache, sijui kwa nini
Kabisa TBC wako sahihi, hiki anachokihubiri Mbowe hakikubariki hata kidogo.Ndio Mkuu, naona kaanza kuhamasisha watu kuvuruga amani ya nchi kisa kuenguliwa kwa Wagombea.
TBC wamekata baada ya kuona Mbowe kaanza kuongelea suala la kuligawa Taifa.
Mkuu mbona unaishi godown?Niko mubashara.....View attachment 1550722
Mkuu mbona unaishi godown?Niko mubashara.....View attachment 1550722
Kumwaga damu?! Duh..Mbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?
CHADEMA wanajiharibia wenyewe watanzania sio wajinga wamesha wasoma hawa watu, mtu huwezi kwenda kwenye mkutano wa namna hiyo.Mbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?
Waondoke, tena wapigwe mawe kabisa.Fukuza kabisa hao
Waache hawataamini hao mabeberu wanaowatumia kwakweli wajipange sana. Watanzania tushawashituka kitambo Sana.CHADEMA wanajiharibia wenyewe watanzania sio wajinga wamesha wasoma hawa watu, mtu huwezi kwenda kwenye mkutano wa namna hiyo.
Patakuwa ndio TBC ofisini nadhanimkuu mbona una mawaya mengi sana hiv
Huna akili mbuzi we! Una jaji wingi wa watu kwa kamera za TBC1 wenye malengo mabaya? Subiri utaona picha utashangaaMbowe hata hajisitukii Kama wananchi wameshindwa tu jujitokeza kwa wingi kusikiliza ilani ya Chama wataweza kweli kujitokeza kujaribu kumwaga damu zao?