Kwani mpaka mumuongelee Magu, si muongee ilani ya chama.... Mkimwongea Magu mnampaisha sanaHawafai hawa,yaani Magufuli akisemwa tu wanakata,halafu picha zao wala hawazungushi Camera.Camera imebase kwenye jukwaa tu.Tunataka tuone na Nyomi bwana.Magufuli siyo malaika bwana ,akisemwa mnataka matangazo.SHAME ON YOU TBCMAGUFULI.
Watu wachache Tena Wana sare na ndio ufunguzi washachemsha tayari
Waulize TBC walikuwepoWatu wachache Tena Wana sare na ndio ufunguzi washachemsha tayari
Ndio Mkuu, naona kaanza kuhamasisha watu kuvuruga amani ya nchi kisa kuenguliwa kwa Wagombea.
TBC wamekata baada ya kuona Mbowe kaanza kuongelea suala la kuligawa Taifa.
TBC si wanasema inazingua? Nataka link ya CDM kabisa, huenda Kuna amsha amsha huko
mkuu Hawa watu hawajielewi.Hapana mkuu TBC hawafel hata kidogo chombo Cha habari Cha Taifa hakiwezi kurusha matamko ya Chuki na vurugu namna hiyo hata siku moja, CHADEMA hawana stahe hizi sio siasa bali chuki tu na kuhamasisha vurugu tupu.
Tunataka tuone watu. Hahahaha hakuna watu hapo anaongea pekee take.
Uhovyo wake ni niniIla wakuu kuna Watu wandani ya chadema wanahujumu chadema huu ufunguzi ni wa ovyo sana na makosa ni mengi sana ya waziwazi