Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

CHADEMA badirisheni huyo sound engineer, anafifisha sauti ya Lissu

Wale wanaojua namna sound engineers wanavyowaondoa watu majukwaani kwa kuwafifishia sauti ndivyo huyu Sound Engineer anavyomhujumu Lissu
Naturally hana sauti nzito, unless kama unataka engineer amuwekee sound effects.
 
Usitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?
umeumia sana kitendo cha kutimuliwa uwanjani dadadeki hiyo ndo nguvu ya uma ile NYOMI IMESHANGILIA SANA liwe funzo kodi za wananchi hazichezewi hovyo hovyo...nyanokoo
 
Kwahiyo Magufuli ni Mungu mpaka asiongelewe?
Mkutano ni wa chadema ongeeni mkipata madaraka mtafanya nini watu wawaelewe sasa kila magu kafanya hivi kafanya vile

Semeni ya chama tusikie bwana, kujificha kwenye kivuli cha Magu haisaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…