Emky
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 144
- 161
Leta ya moja ya saa 12[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni asubuhi saa 3 angalia vivuli vya watu wewe Jiografia ulipata zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ya moja ya saa 12[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni asubuhi saa 3 angalia vivuli vya watu wewe Jiografia ulipata zero
Usitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?Hapo ni asubuhi saa 3 angalia vivuli vya watu wewe Jiografia ulipata zero
Sasa hapo ni kanisani
Naturally hana sauti nzito, unless kama unataka engineer amuwekee sound effects.CHADEMA badirisheni huyo sound engineer, anafifisha sauti ya Lissu
Wale wanaojua namna sound engineers wanavyowaondoa watu majukwaani kwa kuwafifishia sauti ndivyo huyu Sound Engineer anavyomhujumu Lissu
Watu wapo tena wengi eka namba yako ya wassup nikutumie picha nilizopiga kwa kitoch changuSababu ya kijinga hii, kwani Nani amekwambia tbc pekee ndo wanaorekodi tukio Zima mbona Mimi naangalia channel za YouTube sioni hata hiyo nyomi.
Shida Ni nin?
Atupe moja tu ya muda huu!Usitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?
Nitumie Pm mkuuWatu wapo tena wengi eka namba yako ya wassup nikutumie picha nilizopiga kwa kitoch changu
Naomba namba yako nikutumie picha ama nielekeze jinsi ya hapaZitumwe picha kuthibitisha haya
Maana hawaishiga kulalamika
Simu yamgu.ya.kitoch haiwe z kuupload from galleryNitumie Pm mkuu
Mmamae mmefungasha virago mpaka huku ISUNGANGWADA tumeona aibuUsitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?
Lissu keshashindwa kabla ya kura kupigwaSalaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam...
umeumia sana kitendo cha kutimuliwa uwanjani dadadeki hiyo ndo nguvu ya uma ile NYOMI IMESHANGILIA SANA liwe funzo kodi za wananchi hazichezewi hovyo hovyo...nyanokooUsitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?
Mkutano ni wa chadema ongeeni mkipata madaraka mtafanya nini watu wawaelewe sasa kila magu kafanya hivi kafanya vileKwahiyo Magufuli ni Mungu mpaka asiongelewe?
Asante, niliisikiliza yote
Hakuja Sera?1800HRS: Anamaliza kwa Kushukuru. Anasema Nawaombeni watanzania muendelee kutuombea. Nawashukuruni sana kwa Kunisikiiza.
Kamaliza
Kama unazo nitumie mimi.Naomba namba yako nikutumie picha ama nielekeze jinsi ya hapa
Haya hyo
Tuma hapahapa mkuu nitaziona pia au weka link nakazione zilipoNaomba namba yako nikutumie picha ama nielekeze jinsi ya hapa
Haya hapoUsitudanganye wewe. Watu wanakusanyika kufanya nini asubuhi saa 3!?
Hongera mkuu hata Mimi nimesikiliz ila nalijutia bando langu maana hata maandamo sijaelewa yanaanzia wapi na kuishia wapiAsante, niliisikiliza yote