Mkuu poa nimekuelewa. Jamhuri kule kumefulika hali inayoonesha tunaungwa mkono Sasa ujanja ujanja tuacha tufanye kila kitu kwa hakiUnajifariji,hata ukijaza kawe kwa mafuso,lakin habari Ni kuwa uzinduzi ulidoda,
Usisahau kuleta mrejeshoLakini pia kwa watu waliokatazwa siasa for five good years mbona hao ni watu wengi sana? Any way post yako imenipa hamasa ya kwenda viwanja vya Tanganyika Parker's nikashuhudie mwenyewe leo
Mwendo Kasi ndio inajengwa barabara yake huko Mbagala.Siku hizi Mbagala kuna mwendo kasi? Danganya Wajinga
Unasema watu hawakwenda kumuona sababu walishaenda kumuona kwa (wingi) wakati anatafuta wadhamini....ok ..Far pia alikuja kutafuta wadhamini au sio? Hiyo picha yenu kwa hisani ya tbccm mliyopiga mapema ndo kituko mlichobaki nacho.
Mrejesho tafadhaliMkuu Mimi nakaa mbezi Luis Ila leo ntaenda mwenyewe kawe kushuhudia haya Mambo then ntakujuza
Ficha ujinga wako wewe, tukio lilikuwa live TBC kabla Lissu hajasimama, we huoni hivyo vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama? hiyo ndo hali halisi ya jana.Unasema watu hawakwenda kumuona sababu walishaenda kumuona kwa (wingi) wakati anatafuta wadhamini....ok ..Far pia alikuja kutafuta wadhamini au sio? Hiyo picha yenu kwa hisani ya tbccm mliyopiga mapema ndo kituko mlichobaki nacho.
Unachopotosha nn umepewa ulinganifu wa watu waliohudhuria eneo la Mbagala 2015 na 2020 kuwa Mwaka huu wananchi wa Mbagala wamekataa kuja kusikiliza matusi.Pia tutaendelea kutoa idadi ya watu pale Jangwani 2015 na 2020 pale itakapohitajika kufanya hivyo.Mie nakumbuka 2015 ufunguzi wa kampeni za Chadema ulifanyika viwanja vya jangwani? Sasa hiyo ya mbagala ilikuwa ya rais au mbunge?
Sa hiyo picha si yaonesha watu wa mbele pekee?!!! unadhani kwa nini wameicrop? tukio tumeliangalia LIVE TBC na hizi no picha zilirushwa wakati ule Mbowe anatoa povu, tizama vivuli hivyo kuonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano.Wapuuzi hao!
Mimi nilikuwepo!Hiyo picha ya juu itakuwa ilipigwa kabla mkutano haujaanza!Lissu wakati anahutubia kulikuwa kumejaa!Leta picha iliyopigwa kwa juu. Munadhani watu wote ni wajinga. Leta picha oblique picture. We are not all fool
Mkuu sujapotosha Ila ninauliza huo mkutano uliwa wa Nini?nachojua Chadema walifungua kampeni zao na kuzifunga pale viwanja vya jangwaniUnachopotosha nn umepewa ulinganifu wa watu waliohudhuria eneo la Mbagala 2015 na 2020 kuwa Mwaka huu wananchi wa Mbagala wamekataa kuja kusikiliza matusi.Pia tutaendelea kutoa idadi ya watu pale Jangwani 2015 na 2020 pale itakapohitajika kufanya hivyo.
Nakupa mkuuMrejesho tafadhali
Upuuzi wako, watu wamechukia kwa yanayoendelea udhalimu mtupu sijui kichaa gani anaona ni sawa lazima utakuwa mtu wa hovyo kabisa hata kwenye familia yako.Jana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.
Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.
Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.
Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.
2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
Nipo hapa tangu jana nakagua mafuso yangu jinsi yanavyo piga ela ya wapumbavuView attachment 1551400View attachment 1551403
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu ulithishwe ulozi umekuwa empty kweli kichwani.Upuuzi wako, watu wamechukia kwa yanayoendelea udhalimu mtupu sijui kichaa gani anaona ni sawa lazima utakuwa mtu wa hovyo kabisa hata kwenye familia yako.
Uwanja wa Dodoma umetapikaJana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.
Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.
Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.
Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.
2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
Mbagala haijawahi kuwa ngome ya CHADEMA, miaka yote ni CUF na sasa ACT so hapo walikuwepo wapenzi wa CHADEMA + CUF.Yeye ameiabisha mbagala ya 2015 dhidi ya 2020
Sultani Mbowe akipata kiwewe Hadi kafukuza waandishi
Ni wao Chadema waliowaalika waandishi wa vyombo vyote,thread IPO humu,lakini kwa kuchanganyikiwa akaamua kuwafukuza
Tunashukuru sana wamiliki wa power tilla, mikokoteni ya kuvutwa na punda,. Mafuso na baiskeli.Uwanja wa Dodoma umetapika
Taka takaJana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.