Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

Unajifariji,hata ukijaza kawe kwa mafuso,lakin habari Ni kuwa uzinduzi ulidoda,
Mkuu poa nimekuelewa. Jamhuri kule kumefulika hali inayoonesha tunaungwa mkono Sasa ujanja ujanja tuacha tufanye kila kitu kwa haki
 
Lakini pia kwa watu waliokatazwa siasa for five good years mbona hao ni watu wengi sana? Any way post yako imenipa hamasa ya kwenda viwanja vya Tanganyika Parker's nikashuhudie mwenyewe leo
Usisahau kuleta mrejesho
 
Uwanja wa ndege walienda
Unasema watu hawakwenda kumuona sababu walishaenda kumuona kwa (wingi) wakati anatafuta wadhamini....ok ..Far pia alikuja kutafuta wadhamini au sio? Hiyo picha yenu kwa hisani ya tbccm mliyopiga mapema ndo kituko mlichobaki nacho.
 
Ficha ujinga wako wewe, tukio lilikuwa live TBC kabla Lissu hajasimama, we huoni hivyo vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama? hiyo ndo hali halisi ya jana.
JamiiForums-850589447.jpg
 
Mie nakumbuka 2015 ufunguzi wa kampeni za Chadema ulifanyika viwanja vya jangwani? Sasa hiyo ya mbagala ilikuwa ya rais au mbunge?
Unachopotosha nn umepewa ulinganifu wa watu waliohudhuria eneo la Mbagala 2015 na 2020 kuwa Mwaka huu wananchi wa Mbagala wamekataa kuja kusikiliza matusi.Pia tutaendelea kutoa idadi ya watu pale Jangwani 2015 na 2020 pale itakapohitajika kufanya hivyo.
 
Wapuuzi hao!

Sa hiyo picha si yaonesha watu wa mbele pekee?!!! unadhani kwa nini wameicrop? tukio tumeliangalia LIVE TBC na hizi no picha zilirushwa wakati ule Mbowe anatoa povu, tizama vivuli hivyo kuonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano.
JamiiForums-850589447.jpg
 
Leta picha iliyopigwa kwa juu. Munadhani watu wote ni wajinga. Leta picha oblique picture. We are not all fool
Mimi nilikuwepo!Hiyo picha ya juu itakuwa ilipigwa kabla mkutano haujaanza!Lissu wakati anahutubia kulikuwa kumejaa!
Wewe leta picha tofauti na hiyo mliyopiga mapema!Ni sawa na mim nipige picha dodoma muda huu halafu niitumie kufanya propaganda!
 
Unachopotosha nn umepewa ulinganifu wa watu waliohudhuria eneo la Mbagala 2015 na 2020 kuwa Mwaka huu wananchi wa Mbagala wamekataa kuja kusikiliza matusi.Pia tutaendelea kutoa idadi ya watu pale Jangwani 2015 na 2020 pale itakapohitajika kufanya hivyo.
Mkuu sujapotosha Ila ninauliza huo mkutano uliwa wa Nini?nachojua Chadema walifungua kampeni zao na kuzifunga pale viwanja vya jangwani
 
Jana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.

Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.

Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.

Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.

2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
Upuuzi wako, watu wamechukia kwa yanayoendelea udhalimu mtupu sijui kichaa gani anaona ni sawa lazima utakuwa mtu wa hovyo kabisa hata kwenye familia yako.
 
Tangu ulithishwe ulozi umekuwa empty kweli kichwani.
 
Jana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.

Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.

Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.

Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.

2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
Uwanja wa Dodoma umetapika
 
Kweye Ubunge tuliweka Wagombea 244 kati ya Majimbo 264. Wagombea Majiimbo 20 ya Pemba tu ndio hatukuweka. Hadi sasa Wagombea wetu 53 Wamekwisha enguliwa. Wamenguliwa Kihuni na sababu za kipuuzi na za hovyo.

************
Wakuu ile list iliyokua inazunguka mtandaoni ilionyesha wagombea wa nafasi ya Ubunge wa CHADEMA ni 163 au baadae ilikuja nyingine?
 
Yeye ameiabisha mbagala ya 2015 dhidi ya 2020

Sultani Mbowe akipata kiwewe Hadi kafukuza waandishi

Ni wao Chadema waliowaalika waandishi wa vyombo vyote,thread IPO humu,lakini kwa kuchanganyikiwa akaamua kuwafukuza
Mbagala haijawahi kuwa ngome ya CHADEMA, miaka yote ni CUF na sasa ACT so hapo walikuwepo wapenzi wa CHADEMA + CUF.

Kingine mie nilikuwepo jana uwanjani watu walikua wengi sio kma hizo picha za mwanzoni mwa mkutano. Cjui mna faida gani kupotosha.

Kingine ufunguzi wa kampeni upo Dar siku 3 mfululizo so hawa waliokuja ni wakazi wa huku huku tu sio kma hyo 2015 ambapo ufunguzi Dar ulihusisha majimbo yote. Mfano jana mdee hakuwepo na timu nzima ya kinondoni + Kawe/Ubungo/Kibamba. Segerea/Ukonga hawakufika.

Leo ni weekend na mkutano upo ngome ya upinzani so at least leo unaweza fanya analysis nzuri zaidi.
 
Jana mkutano wa CHADEMA ulikuwa na watu kiduchu kwa kuwa Mhe. Kisu alipokuwa anazunguka kutafuta wadhamini alikuwa anafanya kampeni pia. Watu walijitokeza kwa wingi akiwa anatafuta wadhamini kwa kuwa walikuwa wanaenda kumwangalia mtu aliyepigwa na risasi nyingi kuwahi kutokea duniani na akapona.

Jana watu wameona hakuna sababu ya kwenda uwanjani kwa kuwa walishamuona.

Jambo lingine watanzania hawajawahi kuongozwa na Miujiza. Kitendo cha kutoa kwenda jana ni baada ya kuwasikia viongozi wa CHADEMA wakisema Lisu ni Muujiza unaotembea, Watanzania wamekata kuchagua Miujiza wakati binadamu bado wapo.

Ikumbukwe 2015 CHADEMA walijaza watu kwa sababu ya nguvu ya Lowasa na si nguvu ya CHADEMA. Leo CCM wanaenda kuijibu CHADEMA kwa watu kuujaza Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.

2020 Watanzania tutachagua Rais, hatuchagui miujiza.
Taka taka
 
Back
Top Bottom