Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Usiseme few , Sema Moja, yani moja tu

Unaweza taja mambo yako ya ukweli 10 .. ila moja tu la 1 likawa uongo mahakama inahesabu yote 11 n uongo

Samak mmoja akioza wote wameoza hii kauli nahisi asil yake n huku
 
baada ya break ya saba mbona hakuna update tena wakuu
 
Mkuu shida ya akina Kibatala wanadhani polisi kuna wajinga wajinga tu- safari hii imekula kwao
Sasa Inspector mzima Hajui PGO ni Nini Hadi maagizo kutoka juu?
 
Huyo jamaa n zero brain

Hajui jukumu la cross examination ni pamoja na kum- contradict shahidi .. hana idea kabisa , yeye anaona shahidi analambishwa mchanga anadhan watu wanapoteza mda [emoji23][emoji23]
Huyo Comte nimemblock mjinga sana hana hata akili moja anaona kbs Inspector wa polisi analimwa maswali ya aja.
 
Ndiyo maana kwenye UPDATE zao wana OMIT vital detail- Kama jana maneno yote aliyosoma shahidi baada ya vielelezo kukubaliwa na kupokelewa hayamo kwenye UPDATE zao. Wanadhani kama wakizitoa na kwenye rekodi za jaji zinafutika
mkuu ulisahaulika kuwa shahidi upande wa Serikali??
 
Huyo shaidi aliyekuwa ana extract information kutoka kwenye simu ameulizwa maswali matatu ya msingi na upande wa utetezi.

Je Kuna jina la Sabaya limetajwa kwenye hizo information.

Je kuna information ya kuonesha wale washtakiwa wamepanga ugaidi

Je Kuna information inaonesha kwamba Kuna Fedha zilitumwa kwaajili ya kufanya ugaidi.
 
Kayajibuje?
 

..kinachozingatiwa mahakamani ni USHAHIDI usio na mashaka.

..hizo Software hazisaidii chochote kama hakuna ushahidi unaowa-link watuhumiwa na jinai / ugaidi.

..mpaka sasa hivi hajatokea shahidi anayewa-link watuhumiwa na mashtaka yaliyoko mbele yao.

..Ndio maana hata maswali ya mawakili yanaonekana hayana uzito au maana. Ni hili unaweza kuliona kwa mawakili wa upande wa mashtaka na upande wa utetezi.

..Polisi hawajapeleka ushahidi mzito. Hivyo wanafanya kazi ya waendesha mashtaka kuwa ngumu.

..Utetezi nao wana wakati mgumu, kwasababu mashtaka dhidi ya wateja wao ni mabaya na ya hatari. Lakini ushahidi so far hauonekani. Kwa hiyo wako in limbo.

..Shahidi wa leo sioni hata ana maana gani ktk kesi hii. Sijaona akitaja jambo lolote linalowaunganisha washtakiwa na tuhuma zilizoko mbele yao.

..Shahidi anazungumzia simu za watuhumiwa na Software zinazotumika ktk uchunguzi. Nilitegemea aende hatua moja zaidi kusema amebaini kitu gani kinachowaunganisha watuhumiwa na njama za ugaidi.

..At least yule Mama toka Airtel alizungumzia miamala. Sasa ni jukumu la upande wa mashtaka ku prove pasipo na shaka kwa miamala ilitumika ktk njama za ugaidi.
 
Upo sahihi kabisa
 
Leo kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe upande wa utetezi kupitia Wakili Kibatala wameuliza maswali matatu muhimu ambayo Jamhuri ikiyajibu hayo Mbowe na Wenzake ni lazima watatiwa hatiani.

1. Swali la kwanza, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha njama za kumdhuru Sabaya au zinaonesha tu jina la Sabaya?

2. Swali la pili, je information iliyokuwa extracted kwenye simu inaonesha mipango ya ugaidi ikipangwa na watuhumiwa? Kama kuvunja madaraja, kukata miti nk.

3. Swali la tatu, Je information ya miamala inaonesha ya kwamba pesa hizo zililenga kutumika kwenye ugaidi au kutumika kufadhili ugaidi?

Haya maswali matatu yakidhibitishwa na upande wa mashtaka, basi kesi imeisha na yasipodhibitishwa basi itakuwa ngumu kiwatia hatiani Mh Mbowe na Wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…