Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

naona kama kukukamatwa kuwa wshitakiwa -KUMEPREVENT
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to
  1. seriously intimidate a population;
  2. unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act;
  3. seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or social structures of country or an international organization; or
  4. otherwise influence such Government, or international organization; or

..asante.

..hicho ulichokiweka kwa maandishi makubwa ndicho kinachotakiwa kuthibitishwa na upande wa mashtaka mahakamani.

..labda upande wa mashtaka unajenga hayo mazingira kidogokidogo labda ushahidi wenye uzito na usio na mashaka utakuja siku zijazo.

..Luteni Urio ndio shahidi muhimu kwa maoni yangu. Ushahidi wake unatakiwa uwe mzito; kabambe; wazungu wanaita " water tight. "
 
Kwa hiyo mkuu shahidi asipojua kirefu cha DCI Mbowe anakuwa hana kesi ya kujibu tena?
Ushahidi unakuwa wa mashaka. We unadhani mawakili ni mbululazi ka.a wewe?

Kila kinachoongelewa hapo sio kujifurahisha kina implications kwenye kesi
 
Hata mimi nimeshangaa,Halafu huyo mtaalamu mwenyewe aliyesomea IFM anajichanganya tu,usikute hata hao jamaa wa Celebrite kutoka Nairobi waliofundisha ni matapeli tu,
Kuna haja ya kukagua tena vyeti na uelewa wa watumishi wa umma.
 
Leo yule Inspector wa jeshi la polisi ambaye alikuwa na jukumu la kuchunguza mawasiliano ya simu kati ya Mbowe na Luten Dennis Urio. Leo kafunga rasmi kesi hii. Inspector huyu ambaye hata neno DCI tu kashindwa kulitambua kwa kirefu ameulizwa maswali mawili ya mtego sana kiasi kwamba ameshatoa mwelekeo.
1. Kaulizwa katika mawasiliano ya simu kuna sehemu katajwa SABAYA. Hakuna
2. Kaulizwa katika mawasiliano hayo kuna sehemu inaonyesha kuna viashiria vya Ugaidi. Hakuna.
Sasa ndugu IGP Sirro ambaye unaenda kustaafu hauoni kama umejitia aibu pale uliposema kinagaubaga kuwa Mbowe sio malaika. Sasa wanasubiri zamu yako nawe ukatoe ushahidi wako. Futeni hii kesi.
 
..kuna Software za Waisraeli zinalalamikiwa kutumiwa vibaya na serikali kandamizi.

..Naamini huko ndiko ambako mawakili wa utetezi walikuwa wanataka kumpeleka shahidi.

..Shahidi naye inawezekana alikuwa anajua hilo kwa hiyo akawa anagoma kujibu baadhi ya maswali.

New analysis further links Pegasus spyware to Jamal Khashoggi murder​

Forensics suggest that a UAE government agency installed spyware on the phone of Hanan Elatr, Khashoggi’s wife, months before his death
SOMA TENA
 
Ushahidi unakuwa wa mashaka. We unadhani mawakili ni mbululazi ka.a wewe?

Kila kinachoongelewa hapo sio kujifurahisha kina implications kwenye kesi
Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI
 
Tangu lini sheria zikazingatiwa na kufuatwa nchi hii?

CCM walimnyima hela ya matibabu na kumfuta ubunge Tundu Lisu aliposhambuliwa kwenye viwanja vya bunge mchana kweupe. Kw sheria ipi?

CCM waliwaengua wagombea wote wa upinzani wa serikali za mitaa mwaka 2019. Kwa sheria ipi?

CCM walizima mitandao na kupora uchaguzi mkuu wa 2020. Kwa sheria ipi?

Pamoja na kuwa watanzania tunalipa kodi ccm wameanzisha TOZO. Kwa sheria ipi?

Sasa kwann tujisahaulishe ukiukwaji na uvunjifu huu wa sheria kwamba hautatokea ktk suala la kesi ya Mbowe?

Kwenye hi kesi lazima sheria itafuatwa tuu hata Kama Ni mahakama ya Rufaa. Kwenye sheria huwezi kumtia mtu hatiani kwa ushahidi wa mashaka. Kama umeshindwa kudhibitisha jinai huwezi kutiwa hatiani. Mahakama haiwezi kukubali kujishushia heshima kiasi hicho kiss CCM.
 
Tangu lini sheria zikazingatiwa na kufuatwa nchi hii?

CCM walimnyima hela ya matibabu na kumfuta ubunge Tundu Lisu aliposhambuliwa kwenye viwanja vya bunge mchana kweupe. Kw sheria ipi?

CCM waliwaengua wagombea wote wa upinzani wa serikali za mitaa mwaka 2019. Kwa sheria ipi?

CCM walizima mitandao na kupora uchaguzi mkuu wa 2020. Kwa sheria ipi?

Pamoja na kuwa watanzania tunalipa kodi ccm wameanzisha TOZO. Kwa sheria ipi?

Sasa kwann tujisahaulishe ukiukwaji na uvunjifu huu wa sheria kwamba hautatokea ktk suala la kesi ya Mbowe?
Yote yamejibiwa na shahidi kuwa hakukuonekana jinai yoyote
 
Wakuu,

Huyo jamaa comte kwanini mnamu entertain?

Sioni umuhimu wowote wa kupoteza muda na kuanza kumjibu.

Yeye tayari ni kama 'yule' mkuu aliyem convict mtuhuiwa kwenye vyombo vya habari kwamba 'alitenda kosa akakimbilia Kenya'

Hakujali kwamba yeye ni kiongozi wa muhimili na hakutakiwa kuzungumzia shauri lililopo mahakamani...

Hajawahi kutoa ushahidi wowote kwanini alisema 'mtuhumiwa alitenda kosa' etc...

Sasa huyu comte ni wa mrengo ule ule pia. Huwezi kuwaambia chochote kuwabadilisha.

Sanasana watajaribu ku prove kwamba wapo right.

Just ignore/block the lad, tuendelee kutoa hoja zenye msingi...sio huyo anauliza 'hivi leo ni lini?, anaambiwa Jumatano....anauliza tena, okay na kesho?

Waste of everybody's time tu
Nimemblock muda sana takataka huyo.
 
Hahahahahahh CELLEBRITE imerahisha kazi ya kumnasa Mbowe- ACHA KUCHEZA NA DOLA.

Kuhusu hoja yako hapo juu mbona kila kitu kiko wazi.Huelewi nini hapo- tafuta mtu akuelekeze kama huelewi.
Sasa shahidi mtaalamu wa Celebrite kawaangusha sana Leo,kasema hakuona jinai yoyote na kama angeona,yeye kama afisa wa jeshi la Polisi angetoa taarifa!
Huyu shahidi kawapiga na kitu kizito mawakili wa serikali na wakereketwa kama wewe,ulimtegemea sana kwamba Sasa hatimaye concrete evidence zinashushwa Leo!Ila imekuwa kinyume chake!
Hii kesi ni aibu Kwa serikali,nilitaka nishangae,yaani nchi kama USA ambao ndio wahanga wakubwa wa ugaidi na ndio walioanzisha Sheria ya ugaidi,iweje wawe pamoja na Mbowe wakati ana kesi ya ugaidi?
Ndio ujue wamepona hii kesi ni upumbavu tu wa siasa majitaka za watu weusi!!
 
Jokakuu
ndtv.com/world-news/jamal-khashoggi-case-omar-abdulaziz-jamal-khashoggi-friend-sues-nso-group-israeli-firm-says-it-contr-1957399

Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI

..shahidi anatakiwa awe mkweli, na aonekane anasema ukweli wakati wote.

..kitendo cha shahidi kukataa kujibu maswali ambayo ni obvious tunajenga picha kwamba ana kiburi, anaidharau mahakama, na sio mkweli 100%.

..Hakuna Inspekta wa Polisi asiyejua kirefu cha DCI, sasa kwanini huyu Inspekta wa leo anaiambia mahakama kuwa hajui? Kwanini anaidanganya mahakama?
 
Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI
We uko kwenye kirefu Cha DCI mpaka sasa,au hujaona shahidi akisema hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoextract data na kama angeona basi angereport!
 
Sasa shahidi mtaalamu wa Celebrite kawaangusha sana Leo,kasema hakuona jinai yoyote na kama angeona,yeye kama afisa wa jeshi la Polisi angetoa taarifa!
Huyu shahidi kawapiga na kitu kizito mawakili wa serikali na wakereketwa kama wewe,ulimtegemea sana kwamba Sasa hatimaye concrete evidence zinashushwa Leo!Ila imekuwa kinyume chake!
Hii kesi ni aibu Kwa serikali,nilitaka nishangae,yaani nchi kama USA ambao ndio wahanga wakubwa wa ugaidi na ndio walioanzisha Sheria ya ugaidi,iweje wawe pamoja na Mbowe wakati ana kesi ya ugaidi?
Ndio ujue wamepona hii kesi ni upumbavu tu wa siasa majitaka za watu weusi!!
Nina mashaka na uelewa wako
  1. kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa wataalam wa Tigo na Airtel na amefanya hivyo
  2. kazi ya shahidi ilikuwa kuwaunga pamoja urio na Mbowe na wenzako na kwa kufanya hivyo anaunga mkono ushahidi wa shahidi anaitwa Kaaya
  3. kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa Kingai ambaye aliwakamamata baadhi ya watuhumiwa na simu
Bado atakuja mtu atakaye chunguza computa za watoto wa Mbowe maana Mbowe alijiona mjanja ila msemo wa Kiswahili- NDEGE MJAJA HUNASWA NA TUNDU BOVU.
Tundu bovu ndio hawa polisi mnao wadhihaki mkisau mlisoma wote; wao wako kazini nyie mnatembeza bahasha na kushinda mahakamani.
 
Back
Top Bottom