Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

Tangu lini sheria zikazingatiwa na kufuatwa nchi hii?

CCM walimnyima hela ya matibabu na kumfuta ubunge Tundu Lisu aliposhambuliwa kwenye viwanja vya bunge mchana kweupe. Kw sheria ipi?

CCM waliwaengua wagombea wote wa upinzani wa serikali za mitaa mwaka 2019. Kwa sheria ipi?

CCM walizima mitandao na kupora uchaguzi mkuu wa 2020. Kwa sheria ipi?

Pamoja na kuwa watanzania tunalipa kodi ccm wameanzisha TOZO. Kwa sheria ipi?

Sasa kwann tujisahaulishe ukiukwaji na uvunjifu huu wa sheria kwamba hautatokea ktk suala la kesi ya Mbowe?
 
Wakuu,

Huyo jamaa comte kwanini mnamu entertain?

Sioni umuhimu wowote wa kupoteza muda na kuanza kumjibu.

Yeye tayari ni kama 'yule' mkuu aliyem convict mtuhuiwa kwenye vyombo vya habari kwamba 'alitenda kosa akakimbilia Kenya'

Hakujali kwamba yeye ni kiongozi wa muhimili na hakutakiwa kuzungumzia shauri lililopo mahakamani...

Hajawahi kutoa ushahidi wowote kwanini alisema 'mtuhumiwa alitenda kosa' etc...

Sasa huyu comte ni wa mrengo ule ule pia. Huwezi kuwaambia chochote kuwabadilisha.

Sanasana watajaribu ku prove kwamba wapo right.

Just ignore/block the lad, tuendelee kutoa hoja zenye msingi...sio huyo anauliza 'hivi leo ni lini?, anaambiwa Jumatano....anauliza tena, okay na kesho?

Waste of everybody's time tu
 
Wakuu,

Huyo jamaa comte kwanini mnamu entertain?

Sioni umuhimu wowote wa kupoteza muda na kuanza kumjibu...
Huu ushauri ungempa Mh. Kibatala na jopo lake ingesaidia sana
 
Ujinga wako uko hapa "hujui n nn maana ya Cross examination na n kitu gani hasa Wakili anatakiwa kufanya anapokua anafanya haya maswala"

Ushahid wa leo ni ushahidi mfu , ushahidi usiokua na madhara yeyote , haujaonyesha popote kosa lolote kutendeka wala kukusudia kutendeka

Ushahidi uliokua mzito ni ule wa jezi za JWTZ. Tokea shtaka lianze na zilikataliwa , vingine vyote ujinga mtupu

..kama waliopanga kulipua ilitakiwa wakutwe na vilipuzi.

..kama walipanga kukata miti na kuziba barabara walitakiwa wakutwe na mapanga, ashoka, au misumeno.

..kama walipanga kuua na kutesa walitakiwa wakutwe na silaha, pingu, etc.

..pia tunatakiwa uthibitisho kwamba vitu vyote hivyo vilipatikana baada ya watuhumiwa watatu kukutana na Mbowe ambaye ni sponsor na mfaidika wa matukio ya ugaidi.

Cc Nguruvi3, Fundi Mchundo
 
Shahidi wa Leo ni wa upande gani?Mbona Naona kama vile ni wa upande wa utetezi?Maana kasema kwenye uchunguzi wake hakuona jinai kwenye hizo simu!
Sasa ameletwa na upande wa mashtaka kuja kufanyaje?

Jaji anaandika Kidogo.

Jaji: Shauri linahailishwa hadi Kesho 20.1.2022, Shahidi ataendelea Kutoa ushahidi wake

Upande wa Jamhuri naelekezwa kuja na shahidi mwingine

Washtakiwa wataendelea kuwa rumande chini ya magereza mpaka kesho asubuhi saa 3 kamili

Jaji anatoka
 
Sijakuelewa,nilichoandika na ulichojibu haviendani!
Mzee wa "Celebrite" unakwama wapi???
 
..kama waliopanga kulipua ilitakiwa wakutwe na vilipuzi.

..kama walipanga kukata miti na kuziba barabara walitakiwa wakutwe na mapanga, ashoka, au misumeno...
POTA (2002)
An Act to provide for comprehensive measures of dealing with terrorism, to prevent and to co-operate with other states in the suppression of terrorism and to provide for related matters.

(2) A person commits terror act if, with terrorist intention, does an act or ommission which-
(a) may seriously damage a country or an international organization; or
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population; unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act; seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or social structures of country or an international organization; or otherwise influence such Government, or international organization; or
(c) involves or causes, as the case may be-
(1) attacks upon a person's life which may cause death; attacks upon the physical integrity of a person; kidnapping of a person.

(3) An act shall also constitute terrorism within the scope of this Act if it is an act or threat of action which involves serious bodily harm to a person; involves serious damage to property; endangers a person's life; creates a serious risk to the health or of the public or a section of the public; involves the use of or explosives;
 
Accelerate Justice​

From the field to the lab and the courtroom… solve cases faster.

CELLEBRITE imemmaliza Mbowe ndiyo maana Mh. Kibatala ameamua kuuliza kirefu cha DCI-Daima Chadema Inashindwa

..kuna Software za Waisraeli zinalalamikiwa kutumiwa vibaya na serikali kandamizi.

..Naamini huko ndiko ambako mawakili wa utetezi walikuwa wanataka kumpeleka shahidi.

..Shahidi naye inawezekana alikuwa anajua hilo kwa hiyo akawa anagoma kujibu baadhi ya maswali.
 
POTA (2002)
An Act to provide for comprehensive measures of dealing with terrorism, to prevent and to co-operate with other states in the suppression of terrorism and to provide for related matters.

(2) A person commits terror act if, with terrorist intention, does an act or ommission which-
(a) may seriously damage a country or an international organization; or
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to seriously intimidate a population; unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act; seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or social structures of country or an international organization; or otherwise influence such Government, or international organization; or
(c) involves or causes, as the case may be-
(1) attacks upon a person's life which may cause death; attacks upon the physical integrity of a person; kidnapping of a person.

(3) An act shall also constitute terrorism within the scope of this Act if it is an act or threat of action which involves serious bodily harm to a person; involves serious damage to property; endangers a person's life; creates a serious risk to the health or of the public or a section of the public; involves the use of or explosives;

..Je, mpaka sasa hivi, ushahidi uliotolewa, unafikia vigezo vilivyoelezwa hapo juu?
 
Sijakuelewa,nilichoandika na ulichojibu haviendani!
Mzee wa "Celebrite" unakwama wapi???
Hahahahahahh CELLEBRITE imerahisha kazi ya kumnasa Mbowe- ACHA KUCHEZA NA DOLA.

Kuhusu hoja yako hapo juu mbona kila kitu kiko wazi.Huelewi nini hapo- tafuta mtu akuelekeze kama huelewi.
 
..Je, mpaka sasa hivi, ushahidi uliotolewa, unafikia vigezo vilivyoelezwa hapo juu?
naona kama kukukamatwa kuwa wshitakiwa -KUMEPREVENT
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to
  1. seriously intimidate a population;
  2. unduly compel a Government or perform or abstain from performing any act;
  3. seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or social structures of country or an international organization; or
  4. otherwise influence such Government, or international organization; or
 
Ukichukua tahadhari kupita kiasi kwenye maneno unayoongea mahakamani Ni lazima uonekane hujui kitu (boya) hata Kama unajua na kuonekana huaminiki hata Kama ulipaswa uonekane unaaminika.
******
Kibatala: angalia Maneno ya DCI Katika hiyo Barua. Unafahamu Kirefu chake?

Shahidi: nimesahau kidogo

Kibatala: Mimi nikikwambia kwamba kirefu cha hayo maneno uliyoandika wewe kwenye barua yako ni DIRECTOR OF CRIMINAL INVESTIGATION?

Shahidi: Sijui mpaka Nipate Mwongozo Wa Wakubwa zangu

Kibatala: Juu pia maneno ya DFSI kuwa ni DIRECTORATE OF FORENSIC SCIENCE INVESTIGATION?

Shahidi: Sifahamu mpaka Nikumbushwe na wakubwa zangu

Kibatala: Na Bado wewe Unasema ni inspector wa Jeshi la polisi

Shahidi: Ndiyo
Ni kwa sababu haya ushahidi anaotoa alishinikizwa na wakubwa.

huko kwao wanaema za kuambiwa usichanganye na za kwako
 
Hii kesi ilitakiwa iondolewe mahakamani.Huyo DPP anaogopa nini kutamka kwamba hana nia ya kuendelea na kesi.?
 
Back
Top Bottom