Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022


..asante.

..hicho ulichokiweka kwa maandishi makubwa ndicho kinachotakiwa kuthibitishwa na upande wa mashtaka mahakamani.

..labda upande wa mashtaka unajenga hayo mazingira kidogokidogo labda ushahidi wenye uzito na usio na mashaka utakuja siku zijazo.

..Luteni Urio ndio shahidi muhimu kwa maoni yangu. Ushahidi wake unatakiwa uwe mzito; kabambe; wazungu wanaita " water tight. "
 
Kwa hiyo mkuu shahidi asipojua kirefu cha DCI Mbowe anakuwa hana kesi ya kujibu tena?
Ushahidi unakuwa wa mashaka. We unadhani mawakili ni mbululazi ka.a wewe?

Kila kinachoongelewa hapo sio kujifurahisha kina implications kwenye kesi
 
Hata mimi nimeshangaa,Halafu huyo mtaalamu mwenyewe aliyesomea IFM anajichanganya tu,usikute hata hao jamaa wa Celebrite kutoka Nairobi waliofundisha ni matapeli tu,
Kuna haja ya kukagua tena vyeti na uelewa wa watumishi wa umma.
 
Leo yule Inspector wa jeshi la polisi ambaye alikuwa na jukumu la kuchunguza mawasiliano ya simu kati ya Mbowe na Luten Dennis Urio. Leo kafunga rasmi kesi hii. Inspector huyu ambaye hata neno DCI tu kashindwa kulitambua kwa kirefu ameulizwa maswali mawili ya mtego sana kiasi kwamba ameshatoa mwelekeo.
1. Kaulizwa katika mawasiliano ya simu kuna sehemu katajwa SABAYA. Hakuna
2. Kaulizwa katika mawasiliano hayo kuna sehemu inaonyesha kuna viashiria vya Ugaidi. Hakuna.
Sasa ndugu IGP Sirro ambaye unaenda kustaafu hauoni kama umejitia aibu pale uliposema kinagaubaga kuwa Mbowe sio malaika. Sasa wanasubiri zamu yako nawe ukatoe ushahidi wako. Futeni hii kesi.
 

New analysis further links Pegasus spyware to Jamal Khashoggi murder​

Forensics suggest that a UAE government agency installed spyware on the phone of Hanan Elatr, Khashoggi’s wife, months before his death
SOMA TENA
 
Ushahidi unakuwa wa mashaka. We unadhani mawakili ni mbululazi ka.a wewe?

Kila kinachoongelewa hapo sio kujifurahisha kina implications kwenye kesi
Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI
 

Kwenye hi kesi lazima sheria itafuatwa tuu hata Kama Ni mahakama ya Rufaa. Kwenye sheria huwezi kumtia mtu hatiani kwa ushahidi wa mashaka. Kama umeshindwa kudhibitisha jinai huwezi kutiwa hatiani. Mahakama haiwezi kukubali kujishushia heshima kiasi hicho kiss CCM.
 
Yote yamejibiwa na shahidi kuwa hakukuonekana jinai yoyote
 
Nimemblock muda sana takataka huyo.
 
Hahahahahahh CELLEBRITE imerahisha kazi ya kumnasa Mbowe- ACHA KUCHEZA NA DOLA.

Kuhusu hoja yako hapo juu mbona kila kitu kiko wazi.Huelewi nini hapo- tafuta mtu akuelekeze kama huelewi.
Sasa shahidi mtaalamu wa Celebrite kawaangusha sana Leo,kasema hakuona jinai yoyote na kama angeona,yeye kama afisa wa jeshi la Polisi angetoa taarifa!
Huyu shahidi kawapiga na kitu kizito mawakili wa serikali na wakereketwa kama wewe,ulimtegemea sana kwamba Sasa hatimaye concrete evidence zinashushwa Leo!Ila imekuwa kinyume chake!
Hii kesi ni aibu Kwa serikali,nilitaka nishangae,yaani nchi kama USA ambao ndio wahanga wakubwa wa ugaidi na ndio walioanzisha Sheria ya ugaidi,iweje wawe pamoja na Mbowe wakati ana kesi ya ugaidi?
Ndio ujue wamepona hii kesi ni upumbavu tu wa siasa majitaka za watu weusi!!
 
Jokakuu
ndtv.com/world-news/jamal-khashoggi-case-omar-abdulaziz-jamal-khashoggi-friend-sues-nso-group-israeli-firm-says-it-contr-1957399

 
🤔🤔🤔🚶🚶🚶🚶
 
Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI

..shahidi anatakiwa awe mkweli, na aonekane anasema ukweli wakati wote.

..kitendo cha shahidi kukataa kujibu maswali ambayo ni obvious tunajenga picha kwamba ana kiburi, anaidharau mahakama, na sio mkweli 100%.

..Hakuna Inspekta wa Polisi asiyejua kirefu cha DCI, sasa kwanini huyu Inspekta wa leo anaiambia mahakama kuwa hajui? Kwanini anaidanganya mahakama?
 
Ni sawa lakini kwa akina Mh. Kibatala 90% comedy - ndio maana mnafurahia na kucheka mkisahau nahau ya kiingereza
WHO LAUGHS LAST LAUGHS LONG
Sasa wewe unaamini Inspector wa Polisi hajui kirefu cha DCI
We uko kwenye kirefu Cha DCI mpaka sasa,au hujaona shahidi akisema hakuona jinai yoyote kwenye vifaa alivyoextract data na kama angeona basi angereport!
 
Nina mashaka na uelewa wako
  1. kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa wataalam wa Tigo na Airtel na amefanya hivyo
  2. kazi ya shahidi ilikuwa kuwaunga pamoja urio na Mbowe na wenzako na kwa kufanya hivyo anaunga mkono ushahidi wa shahidi anaitwa Kaaya
  3. kazi ya shahidi ilikuwa kuunga mkono ushahidi wa Kingai ambaye aliwakamamata baadhi ya watuhumiwa na simu
Bado atakuja mtu atakaye chunguza computa za watoto wa Mbowe maana Mbowe alijiona mjanja ila msemo wa Kiswahili- NDEGE MJAJA HUNASWA NA TUNDU BOVU.
Tundu bovu ndio hawa polisi mnao wadhihaki mkisau mlisoma wote; wao wako kazini nyie mnatembeza bahasha na kushinda mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…