Nimeshtuka kusikua Fuefu timm asiingie tena mahakamani nikajuwa ni wewe Erythrocyte ulie bambwa?
Mtoa mada ana copy Kule twiiter kwa Martin then anatupia hapa JF.

So wasiwasi muwe nao kumhusu Martin Kule mahakamani
 
Shahidi amekutana na ambacho hakukitegemea, unauzaje Namba iliyo Kwenye Uchunguzi?, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] duuu Airtel Wametoa Kali, Barua ilisema ni unguzi
Huo ndio mchongo wenyewe
 
Ninasema hivi mtoa mada ana copy kwa Martin Maranja Masese wa Kule Twitter na sio dhambi lkn Ni vzr ukitoa credit kwa Martin.

Simple tu.
Hujui haya mambo ya kesi za mahakamani , nyamaza , natambua mchango mzito wa Maranja Masese , lakini kwa hili umenionea sana
 
Huku ni kukosa nidhanu kabisa, sasa unawasha simu mahakamani na kuanza kurekodi mwenendo wa kesi. Chadema tuwe wastaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…